Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Maelekezo niliopokea ni kwamba usaili rts umekamilika,kwahivo wanasubriwa kusomwa unfeet kuanzia kesho oct15,majina ya ambao sio unfeet yameshawasilishwa ngome.Kwahyo bog la 2 tujiandae,week hii hii sim zitaita,ssa we fanya Kama umeenda kukojoa hapo angani ukrudi wahuni washatembea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…