Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Wanangu wa Orjoro andaeni mwili muda umewadia
Sio kweliii usaili ndio unaishia kilichobaki watareplace wale wa unfit wachache ili wafunge usaili. Kozi inafanyika kihangaiko tu hakuna orjolo na orjolo itapigwa kozi kwa wale wa form six baada ya kukamilisha kozi ya msata miezi 6
 
uko sahihi ila orjoro inakuaga ni wale form 6 science ambapo wanapata kozi ya miezi 6 awali kama ya kihangaiko kwahiyo wao hawaendi huko rts
 
Sio kweliii usaili ndio unaishia kilichobaki watareplace wale wa unfit wachache ili wafunge usaili. Kozi inafanyika kihangaiko tu hakuna orjolo na orjolo itapigwa kozi kwa wale wa form six baada ya kukamilisha kozi ya msata miezi 6
ivi wale madogo wa form six washachukuliwa??
 
sijajua maana huwa Wanachukuliwa mujibu hawa ambao ndo walimaliza mujibu mwezi wa tisa mwaka huu najua kozi yao inaishaga mwezi wa 7 military science alafu ndo wanaenda TMA, na kama kozi ni miezi 6 itakua labda wanaanza januari hapo naongea kwa kufikiri tu ila sijui chochote
 
Tupe lonja mkuu ilore
Swala la usaili limeisha vijana wamesomewa leo.vijana waliotokea mtaani walioingia msata ni 201 na 181 ni wale vijana waliokuwa wamemaliza mikataba yao wakarudi home 20 ni pure from kitaa kozi itaaza tarehe 28 au tar.4. vijana Kama mna watu nasikia narudia Tena nasikia Kuna usaili wa vijana wengine wachache utafanyika lugalo.
 
Si ulisema hakuna unfit mzee? 😃
 
Back
Top Bottom