ilore
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 963
- 1,248
Wametoka wangapi mkuuSi ulisema hakuna unfit mzee? 😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wametoka wangapi mkuuSi ulisema hakuna unfit mzee? 😃
Nimeanza kutouamini mbuyu wangu
😃😃😃Vijana wamelia sana jana.vijana 400+ wametemwa na wengine majina yao yalitoka polisi wao wakataka bakabaka sasa wametemwa.
Mtihani huooooVijana wamelia sana jana.vijana 400+ wametemwa na wengine majina yao yalitoka polisi wao wakataka bakabaka sasa wametemwa.
Ko watu wasubili replacement siooo 😂Vijana wamelia sana jana.vijana 400+ wametemwa na wengine majina yao yalitoka polisi wao wakataka bakabaka sasa wametemwa.
Pambana na mmbanga wako Kama Kuna watu waliingia na ni lasaba wewe bado upo tu basi huyo mmbanga wako hakufai.Ko watu wasubili replacement siooo 😂
Mbanga kumconnect wa la 7 ni rahisi kuliko wa form 6 ni kazi sana
Watu tushakula blue tickPambana na mmbanga wako Kama Kuna watu waliingia na ni lasaba wewe bado upo tu basi huyo mmbanga wako hakufai.
Subiri MG mkuu huku imeshakuwa to laiteWatu tushakula blue tick
Duh maumivu ya kutemwaVijana wamelia sana jana.vijana 400+ wametemwa na wengine majina yao yalitoka polisi wao wakataka bakabaka sasa wametemwa.
Kijana wetu ametemwa, japo Mtoto wa kibosile, kulikoni?Vijana wamelia sana jana.vijana 400+ wametemwa na wengine majina yao yalitoka polisi wao wakataka bakabaka sasa wametemwa.
Ko usaili kwishaKijana wetu ametemwa, japo Mtoto wa kibosile, kulikoni?
Kozi inaaza tar.28 mkuuKo usaili kwisha
Ahaa ko usaili umefungwaKozi inaaza tar.28 mkuu
Mmh sio kweli, tareh28 kivip ss?!…..watu waliotemwa ni karibia mia5 sasa iyo idadi wamewa replace saa ngap na wamewapima saa ngap mpka iyo kozi ianze tareh28?Kozi inaaza tar.28 mkuu
Kwamba unataka ulazimishe wewe kwa matakwa yako kuwa lazima wareplace.sasa kozi inaaza tar,28Mmh sio kweli, tareh28 kivip ss?!…..watu waliotemwa ni karibia mia5 sasa iyo idadi wamewa replace saa ngap na wamewapima saa ngap mpka iyo kozi ianze tareh28?