Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Walioenda msata bogi alifiki watu elfu3 na wengne kozi ilipoanza naskia washakimbia na wengne washavunja mikataba na wengne wapo hoii wamepelekwa lugalo…..wale waliorudishwa kutoka msata ambao inasemekana ni unfit kitu kama 400 kasoro wengi walipelekwa ruvu jkt but watu kama100 baadae walipigiwa simu na wakarudi msata kuanza kozi.
 
Yaah upo sahihi kaka✅
 
Wakuu mwenye lonja ya uhamiaji wanakuja lini naomba anijuze
Kwa Ronja niliyonayo uhamiaji ni mwezi wa 12 kabla sikukuu hazijaanza watakua washatoa tangazo, Usaili hadi kufika mwezi wa pili utakua ushakamilika watu wanaingia MKINGA kupiga kozi mwaka mmoja Kama kawaida WAKUBWA. bila kuwavunjia heshima habari zenu 👋

Anhaa kumbe ni kama kawaida mwezi wa12….nilijua labda safari hii watachelewa…shukrani mkuu✊
 
Kwa Ronja niliyonayo uhamiaji ni mwezi wa 12 kabla sikukuu hazijaanza watakua washatoa tangazo, Usaili hadi kufika mwezi wa pili utakua ushakamilika watu wanaingia MKINGA kupiga kozi mwaka mmoja Kama kawaida WAKUBWA. bila kuwavunjia heshima habari zenu 👋
Hukoo hata sijawahi itwa usaili aisee....panahitaji mbanga ya uhakikaa 🤔
 
Inahitajika mbanga ya uhakika haswaaa….tena ukiona umetoboa mpaka ukaingia pale Raphael kubaga Tanga kweny mafunzo na ukaapa kabisa basi iyo mbanga kamwe usiisahau kweny maisha yako maana atakua amefanya kazi kubwa sana mpaka ww kupata iyo kazi coz competition ni kubwa na nafas ni chache mnoo

Kooo kila SEHEMU ni kuwa na mibuyu....kweli majeshi si KIPAIMARA🤣🤣
 
Haya watu wanakula nyota huko
 
Attachments

  • IMG_0688.jpeg
    IMG_0688.jpeg
    365.4 KB · Views: 17
Back
Top Bottom