Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Leo asubuhi maeneo ya mwenge dar es salaam niliona vijana wengi wana vipara kutega sikio nikasikia kuwa wametoka msata afuu wanarudi.
 
Ni kweli walitoka msata ndio hao wanaopiga kozi walipewa mapumziko ya siku moja kuja kutalii kidogo dar na tarehe 27 wanakuja tena
 
ni Kambi gani ambapo USAILI unafanyika au ni Kambi gani ambay imeanza Kufanya usaili
 
Back
Top Bottom