samwita
Member
- Oct 28, 2015
- 13
- 9
January hii au February ukweli na uhakika. Kuhusu info zingine sina zaidi ya hiyoo.When
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
January hii au February ukweli na uhakika. Kuhusu info zingine sina zaidi ya hiyoo.When
WALE WA UWAMIHAJI
Nimetemwaaaaa mapema nimetulia zanguVipi mkuu umeitwa kwenye usaili??
Daah hawa jamaa Mungu anawaona, sio kwa ukatili huuNimetemwaaaaa mapema nimetulia zangu
Katika maisha hakuna kukata tamaa na katika utafutaji jua upo na Mungu ongea na Mungu vizuri ana weza kukupa njia ukatoboa ukajilaumu mda ulio poteza wakati unatafuta amini ipo siku ni swala la muda ukikosa uko ujue njia yako ipo matamanio yetu ni makubwa sana ila tunacho kipata ni kile tunacho stahili kuwa mvumilivu jipe muda tuliza akili usiwaze sana kuna kesho pia tunza afya bado nafasi ipo lakini usichoke kupambanaNikikumbuka nilivyoenda usaili wa polisi mwaka jana nikasota pale dodoma week2 za usaili na mchujo nikapita mpka kwa mkuu wa mkoa nikafika lakin pdf la mwisho nikatemwa na huku uhamiaji nimetemwa, nachoka kabsa😒
🙏Katika maisha hakuna kukata tamaa na katika utafutaji jua upo na Mungu ongea na Mungu vizuri ana weza kukupa njia ukatoboa ukajilaumu mda ulio poteza wakati unatafuta amini ipo siku ni swala la muda ukikosa uko ujue njia yako ipo matamanio yetu ni makubwa sana ila tunacho kipata ni kile tunacho stahili kuwa mvumilivu jipe muda tuliza akili usiwaze sana kuna kesho pia tunza afya bado nafasi ipo lakini usichoke kupambana
Nimetemwaaaaa mapema nimetulia zangu
Hapana hata
Aaah wapiii😂😂😂....kule sifa ni m bangaa tuuWatu wengi ndomlipokosea hapo
Mbali wapiuzi huu unanikumbusha mbalii
tuendeleeee kuwachagua tena CCM na mwaka huu ndio tutajua hatujui KAZI ZA POLICE, UHAMIAJI JKT JWTZ NA AJIRA NYINGINE NYINGI WATU HAWAPATI KWA MERIT UNAACHWA BILA SABABU YA KUTOITWA NI IPI ILI UKASHINDWE MWENYEWEzilikua Ajira za wakubwa hizo watoto wa wakubwa hii 2025 wawawekwe sehemu nzuri wapwa wao .. wabunge, RCO, N.k