Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Yani uhamiaji sijui wanatumia vigezo gani kuita watu kweny usaili, maana naona watu weng wanalalamika hawajaitwa kwenye usaili
 
Uhamiaji wamenitema mapema sna…..nilikua nna ndoto siku moja na mimi nivae lile shati la light blue juu na chini suruali ya dark blue lakin naona kama ndoto ndo imezimika😞🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Nikikumbuka nilivyoenda usaili wa polisi mwaka jana nikasota pale dodoma week2 za usaili na mchujo nikapita mpka kwa mkuu wa mkoa nikafika lakin pdf la mwisho nikatemwa na huku uhamiaji nimetemwa, nachoka kabsa😒
 
Katika maisha hakuna kukata tamaa na katika utafutaji jua upo na Mungu ongea na Mungu vizuri ana weza kukupa njia ukatoboa ukajilaumu mda ulio poteza wakati unatafuta amini ipo siku ni swala la muda ukikosa uko ujue njia yako ipo matamanio yetu ni makubwa sana ila tunacho kipata ni kile tunacho stahili kuwa mvumilivu jipe muda tuliza akili usiwaze sana kuna kesho pia tunza afya bado nafasi ipo lakini usichoke kupambana
 
🙏
 
Vijana wa vikosini now vikosi vinapewa nafasi kupendekeza watu sasa hapo ndio inakuja swala la nidhamu ni vijana wapi wana nidhamu na uangalia kwenye vitengo mlivyopo na kuendelea kama ulikuwa unakimbia kimbia imekula kwako
 
Jamaa wa uhamiaji wale jamaa zile ajira kuita watu interview sijui walikua wanaangalia nini aisee. Yaani watu tumeomba ka group ketu hata mmoja hajachukuliwa kuitwa kwenye usaili
 
zilikua Ajira za wakubwa hizo watoto wa wakubwa hii 2025 wawawekwe sehemu nzuri wapwa wao .. wabunge, RCO, N.k
tuendeleeee kuwachagua tena CCM na mwaka huu ndio tutajua hatujui KAZI ZA POLICE, UHAMIAJI JKT JWTZ NA AJIRA NYINGINE NYINGI WATU HAWAPATI KWA MERIT UNAACHWA BILA SABABU YA KUTOITWA NI IPI ILI UKASHINDWE MWENYEWE
 
Back
Top Bottom