Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 3,775
- 10,094
Unakuaga na uzi wako wa fursa embu chambua chambua kushika chaki kila siku sio diliIli iweje
Unakuaga na uzi wako wa fursa embu chambua chambua kushika chaki kila siku sio diliIli iweje
Waambie waje tu!Unakuaga na uzi wako wa fursa embu chambua chambua kushika chaki kila siku sio dili
Mhhhh huyo sidhaniii....ukiona imekarbia 2030 afu ghafla yule mkuu wa msatani ukaona kawa Meja jenerali jua huyo ndo ataukwaa ucdfHuyu jamaa nilikua namkubali ila naona wameamua kumchoropoa kimkakati apo Jeshini ….angekua CDF ajae ingependeza sana.
Mmh sidhani kama mkuu wa usatani atapewa ucdf ….za chini ya kapeti ni kwamba safar hii wanataka kubalance mambo so mkuu wa majeshi atakua yule mzanzibar.Mhhhh huyo sidhaniii....ukiona imekarbia 2030 afu ghafla yule mkuu wa msatani ukaona kawa Meja jenerali jua huyo ndo ataukwaa ucdf
Hakuna bogi la oljoro mkuuLabda kuna ilo bogi la oljoro ndo linasikiliziwa ili liondoke na vijana wamtaani
Your right yule mshikaji anainfluence kubwa sana kuna kipindi alitaka atolewe pale apewe seheme ya hadhi naskia akaomba kuludishwa pale. Cheo chake na sehemu aliyopo haisanifu. Ila yeye anakaa pale anajua kuna manufaa anapata. Now kajenga kabisa maeo ya kule anaishi na familia yake maeneo ya Chahua Bwilingu chalinze. Moja kati ya watu wanaotabiliwa kuwa wakuu wa majeshi the guy. Sij*on* mly**Mhhhh huyo sidhaniii....ukiona imekarbia 2030 afu ghafla yule mkuu wa msatani ukaona kawa Meja jenerali jua huyo ndo ataukwaa ucdf
Yes bogi moja tu. Hii inatumikaga kama propaganda ya kuwapoza madogo wanaokatwa kila mwaka.Hakuna bogi la oljoro mkuu
Duuh kwahiyo ngoma ndo imeisha kikatili hivihivi 😟Hakuna bogi la oljoro mkuu
Anhaa uyo si ni brigedia SIJAONA MYALLA.Your right yule mshikaji anainfluence kubwa sana kuna kipindi alitaka atolewe pale apewe seheme ya hadhi naskia akaomba kuludishwa pale. Cheo chake na sehemu aliyopo haisanifu. Ila yeye anakaa pale anajua kuna manufaa anapata. Now kajenga kabisa maeo ya kule anaishi na familia yake maeneo ya Chahua Bwilingu chalinze. Moja kati ya watu wanaotabiliwa kuwa wakuu wa majeshi the guy. Sij*on* mly**
Kwahiyo hawarudi tena kikosini kuchukua watu, yani ndo imeisha ivoo?Yes bogi moja tu. Hii inatumikaga kama propaganda ya kuwapoza madogo wanaokatwa kila mwaka.
Kwani huyu si ndio mkuu waa RTS kihangaiko.Anhaa uyo si ni brigedia SIJAONA MYALLA.
Ndio ndo yeye …..pale mkuu wa pale nafikir alipaswa awe kanali lakini nashangaa yeye brigedia alafu yupo pale, ni sawa na jamaa apo juu alivyosema kua cheo chake nasehemu aliyopo haisanifu.Kwani huyu si ndio mkuu waa RTS kihangaiko.
Kila mwak iv iv mwish ni kihangaiko tuYes bogi moja tu. Hii inatumikaga kama propaganda ya kuwapoza madogo wanaokatwa kila mwaka.
Me sijataja jina kaka 😀Anhaa uyo si ni brigedia SIJAONA MYALLA.
Kama una connection kunywa maji mtaitwa 834KJ na baadhi wengine wakuzugia. Mkienda kule wale wa kuzugia wanaliwa kichwa wanaludi home nyie wenye Mibuyu mnaenda kufungua kozi.Kwahyo wakuu vipi sasa kuhusu sisi wa mtaani au ndo habari kwishaa? ilore
THubutuuuuuuu huyu anastaafu na mwenziee aliyejuu yakee na ma meja jenerali haoo wazee waliopo sahiviiiMmh sidhani kama mkuu wa usatani atapewa ucdf ….za chini ya kapeti ni kwamba safar hii wanataka kubalance mambo so mkuu wa majeshi atakua yule mzanzibar.
Chuma icho hapo 👇
Jamaa ni mwamba sana na kazi ya kutengeneza askari anaipenda sanaa ndo maana hataki kutoka pale ila kuna muda utafika atatoka tu sababu ya cheo,,,na kitu zaid kinambeba Askari wengi waliopo kazini hivi sasa wamepita kwenye mikono yake hivyo Akisema neno lazima watiiiYour right yule mshikaji anainfluence kubwa sana kuna kipindi alitaka atolewe pale apewe seheme ya hadhi naskia akaomba kuludishwa pale. Cheo chake na sehemu aliyopo haisanifu. Ila yeye anakaa pale anajua kuna manufaa anapata. Now kajenga kabisa maeo ya kule anaishi na familia yake maeneo ya Chahua Bwilingu chalinze. Moja kati ya watu wanaotabiliwa kuwa wakuu wa majeshi the guy. Sij*on* mly**
Imeishajeee wazeeee ngomaa badoooDuuh kwahiyo ngoma ndo imeisha kikatili hivihivi 😟