Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Asante kwa taarifa mkuu
 
S
Ngoja wajeπŸ˜‚πŸ˜‚
Soon Watu wataanza kupigwa za uso kuna mwaka Fulani Afande mmoja ivi alikusanya kibunda cha karibu watu 9 ivi afu Nafasi inakuja kutema amepewa chance moja tu... ikawa kasheshe Amuweke nani hahah duuuh ikabidi amuweke ndugu yake wengne walipigwa za uso tu.. Mpaka sasa wale madogo wanalalamika kinoma afu M. 1 zilipita iviii wawe makini hawa watu wa Mbanga
 
Duh noma sana hii,
 
Unataka kusema maafande bado hawajapewa nafasi zao za bogi lijalo mkuu?
 
Mara paaaap Op mabeyo ndio wenye kupewa priority kwanz then jazia nyama op tofaut na baba kanituma πŸ’―πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…