Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Huko mambo sio kama tuzaniavyo mzee Rts yaan Recruit Training school unatoka Kama TS,...alaf Level 3 ndio ukimaliza unakua Pte yaan Private huko TMA ndio Kama una elimu ukibahatika kwenye sahili bas utakua umeula ikishindikana bas utabak kuwa Pte japo utakua unakula dow ya hicho chet chako cha taaluma
Asante kwa taarifa mkuu
 
S
Ngoja waje😂😂
Soon Watu wataanza kupigwa za uso kuna mwaka Fulani Afande mmoja ivi alikusanya kibunda cha karibu watu 9 ivi afu Nafasi inakuja kutema amepewa chance moja tu... ikawa kasheshe Amuweke nani hahah duuuh ikabidi amuweke ndugu yake wengne walipigwa za uso tu.. Mpaka sasa wale madogo wanalalamika kinoma afu M. 1 zilipita iviii wawe makini hawa watu wa Mbanga
 
Duh noma sana hii,
 
Unataka kusema maafande bado hawajapewa nafasi zao za bogi lijalo mkuu?
 
Mara paaaap Op mabeyo ndio wenye kupewa priority kwanz then jazia nyama op tofaut na baba kanituma 💯😂😂
 
Back
Top Bottom