Mtu Mbadi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2024
- 403
- 457
Asante kwa taarifa mkuuHuko mambo sio kama tuzaniavyo mzee Rts yaan Recruit Training school unatoka Kama TS,...alaf Level 3 ndio ukimaliza unakua Pte yaan Private huko TMA ndio Kama una elimu ukibahatika kwenye sahili bas utakua umeula ikishindikana bas utabak kuwa Pte japo utakua unakula dow ya hicho chet chako cha taaluma