Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Lkn mkuu nyie Serengeti c hamkaguliwi mnduku sasa mbn waogopa[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kukaguliwa mnduku ni dharau jamanii, ukute na zivu makata mavi yapo ya kushatooo, unafanya kuyachanua na kitana ili marinda yaonekaneee.

Aaaah wee!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kukaguliwa mnduku ni dharau jamanii, ukute na zivu makata mavi yapo ya kushatooo, unafanya kuyachanua na kitana ili marinda yaonekaneee.

Aaaah wee!!!
Alaf unaambiwa kohoa ulewako sasa waone vya ndan wanasema unapumuliwa kisogoni
Daaah kwahiyo kila naniiiii kachunguliwa😂😂😂
 
Alaf unaambiwa kohoa ulewako sasa waone vya ndan wanasema unapumuliwa kisogoni
Daaah kwahiyo kila naniiiii kachunguliwa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kambi niliyoenda kwa mujibu mwaka wetu, ile 1St selection walipimwa, sisi wa second hatukupimwa.

Yaan tungeambiwa kupimwaa, aaaah wee thubutuuu ningeyeya zangu kurudi home.
 
Ndio ungeimbiwa mshike huyoo hatoki mtu....
Ungeyatimba😂😂
 
Alaf unaambiwa kohoa ulewako sasa waone vya ndan wanasema unapumuliwa kisogoni
Daaah kwahiyo kila naniiiii kachunguli
Kuna mwanangu ye alipata military science alinipanga kukaguliwa marinda Wala sio lazima labda tu umkute afande mnaa 🤣🤣
 
Ndio ungeimbiwa mshike huyoo hatoki mtu....
Ungeyatimba[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasikiaga watu wanatoroka kule, najiuliza wanawezajee.

Mie nilitoa had 200k ili nitoroshwee, kilichofuataaa ni ITV habarii.

Kila mvaa gwanda kwangu ni adui, yaan nawaogopa had bas. Lol
 
Aaaah mkuu 75+ mbn wengi hivo hzo nafas c wangeache watu walofungua moyo ndo waende🥴🥴
Kama ulivyosema unakuta mtu alienda mujib bas akapata upenyo kuingia jw fikra zake anajua hapo jakata ndo jeshi sasa kumbe safar bado ndefu....ukimwambia jax 75% n uzalishaj mali akuamin kbs anajua na Rts ni hivo kumbe anaenda kutanishwa na fatiki la kwenda kwann asikache jeshi sio Fashion show 😂😂😂
 
Kuna nadharia inakuja kichwani degree holder wasibebwe wengi maan waliopo hapo kati saiv n weny shahada na astashahada,,,,,,,,mwenye kuchangia hapa kwenye mtizamo wangu wakuu
Kule wapo Form six ambao wakitoka hapo wanaenda BMS hakuna degree holder.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasikiaga watu wanatoroka kule, najiuliza wanawezajee.

Mie nilitoa had 200k ili nitoroshwee, kilichofuataaa ni ITV habarii.

Kila mvaa gwanda kwangu ni adui, yaan nawaogopa had bas. Lol
😂😂😂
 
Hii nahisi kuna ukweli me mwenyewe nina ndugu yang ni Kanali lakin nikimwambia suala la kunipiganishia ananipiga chenga tangu mwaka 2020 mpaka leo nishamkatia tamaa nafanya kumuombea dua mbaya tu[emoji1][emoji1](jokes)
 
Kaka’ako anaitwa nani?

Maana OP magufuli (awamu ya pili-kujitolea) tuliwakuta OP Magufuli -Mujibu…

Alafu tukarudishwa tena mtaani…

Ila tulishaanza kuwa wazalendo…

Pengine nnaweza kuwa namjua..

Maana tulivyofika, Mujibu ndo walikuwa kwenye kozi, wahuni hadi tukajiuliza.

Kama Mujibu ndo hivi, sisi wajuba inakuaje? 😀
 
Hii nahisi kuna ukweli me mwenyewe nina ndugu yang ni Kanali lakin nikimwambia suala la kunipiganishia ananipiga chenga tangu mwaka 2020 mpaka leo nishamkatia tamaa nafanya kumuombea dua mbaya tu[emoji1][emoji1](jokes)
Oyaa, hizi sio ngonjera..

True Story hiyo..

Bro kaenda Jax 2014 mwezi wa 1, ila kozi walianza mwezi wa 3…

Amelazimisha mwenyewe, huwezi amini, jina la baba’ke ndo lilifanya apewe siku kadhaa za kurekebisha vyeti, havikuwa sawa…

Vyeti vyake nikampelekea mimi, MARAMBA JKT, Tanga moja hiyo 😀
 
Kanembwa kusikie tu 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasikiaga watu wanatoroka kule, najiuliza wanawezajee.

Mie nilitoa had 200k ili nitoroshwee, kilichofuataaa ni ITV habarii.

Kila mvaa gwanda kwangu ni adui, yaan nawaogopa had bas. Lol
Kule hutoroki, ila unatoroshwa…

Na mpaka watake kukutorosha…

Tena ukiwa pisi kali ndo kabisaaaaa…HUTOROKI na HUTOROSHWI 😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kukaguliwa mnduku ni dharau jamanii, ukute na zivu makata mavi yapo ya kushatooo, unafanya kuyachanua na kitana ili marinda yaonekaneee.

Aaaah wee!!!
Nimecheka hadi naulizwa.. 😅😅😅
 
Ujue msemacho ni kweli hawa ndugu wajomba ni ngumu sana kukupigania uingie chomboni sijui ni kwanini tena hasa wenye vyeo vya juu huishia kusema kule ni pagumu.
Tunaishia kushangaaa tu labda atokee mtu baki na Mara nyingi connection za watu waliokuzunguka wenye huruma na wewe ndio huwa wanapambania watu kwenye hili so maintain discipline to your facilitators tomorrow is mystery bro's&sis's
Sasa kama sisi majanki tunalilia wembe watupe wajue tumeisha ota fwefweee
 
Kwelii kabisa mimi mwenyew nataman sana ningekuwa uko vyeo vya juu huenda ningepambania ata wadogo zetu ila inashindikana nina Shem wang wa ikulu namwambia kila intake mpambanie Dogo anauliza atawezaaa afu anatupilia mbaliii ombi nakeleka balaa akati dogo anataka DOSO na ipo Damuni
 
Hii nahisi kuna ukweli me mwenyewe nina ndugu yang ni Kanali lakin nikimwambia suala la kunipiganishia ananipiga chenga tangu mwaka 2020 mpaka leo nishamkatia tamaa nafanya kumuombea dua mbaya tu[emoji1][emoji1](jokes)
We unafanana na mimi kuanzia mwaka wa mapambano mpaka cheo cha mbanga. 😅 Tuwaombee mabaya kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…