Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Wakuu habari zenu,Vipi lonja zinasemaje huko makao kuelekea RTS?..Nataka nijue mapema kua nimetapeliwa au Lah! Nifanye mambo yangu mengine.
 
Wakuu habari zenu,Vipi lonja zinasemaje huko makao kuelekea RTS?..Nataka nijue mapema kua nimetapeliwa au Lah! Nifanye mambo yangu mengine.
😂😂😂bado subiri tu toka miaka ile bdo hujapita rts
 
Toka mwaka jana tupo pamoja humu tunapambana hahaha Mdg wang bdo sijafanikisha unanishaurije
Eeh mkuu si wote tulijua kozi itapigwa mwaka jana ila ndio hivyo mambo yamekuwa mengi hatimaye mwaka ukaisha.

Mwaka huu inasemekana wa 7 hapo watu wanaingia DEPO,ko tuendelee kusikilizia Chief.
 
Yah mkuu kama ulkua kichwani mwangu vile. Watu tulokulia kota tangia wadogo wengi wetu jeshi lipo damuni. Lkn walolijua baada ya kuanza harakat za ajira ndo hao wanaosema hawalipendi🤣
Sorry mkuu umekaa kota za wapi ?
 
Standard seven - 1500
Form four - 2900
Form six - 300
Diploma - 170
Degree - 130

Total 5000
 
Wajuzi wa mambo vipi kama intake hii itachukua watu wengi 5-6K je wote watapigia Kihangahiko au nusu wataamishiwa Oljoro
 
Wajuzi wa mambo vipi kama intake hii itachukua watu wengi 5-6K je wote watapigia Kihangahiko au nusu wataamishiwa Oljoro
Bogi znakua mbili mkuu. Mbn 2022 zilipigwa bogi mbili hapohapo kihangaiko lkn walipishana tu tarehe ya kuhitimu ingawa wote walihitimu June. Na walipigwa na military science six weeks. Ukijumlisha military science unaeza sema zilikua bogi3 ingawa wao ni wachache
 
Ijapokua mwakajana tuliambia bogi ztakua mbili kwamba c tulokosa kihangaiko tutaenda oljoro lkn hola tukabaki mtaani😬😬
 
😂😂😂😂Daaaah hii taarifa ya Uongo kabisa Now Darasa la Saba Haipo kama kuna mtu anatarajia na cheti cha la saba Akae tu Pembeni hakuna kitu kama Iyo
Lakini hawa OP Mabeyo darasa la saba pia wamefanyiwa uhakiki kwahiyo inawezekana hili ndio ikawa bogi la mwisho wao kuwepo.
 
Back
Top Bottom