Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Kaka’ako anaitwa nani?

Maana OP magufuli (awamu ya pili-kujitolea) tuliwakuta OP Magufuli -Mujibu…

Alafu tukarudishwa tena mtaani…

Ila tulishaanza kuwa wazalendo…

Pengine nnaweza kuwa namjua..

Maana tulivyofika, Mujibu ndo walikuwa kwenye kozi, wahuni hadi tukajiuliza.

Kama Mujibu ndo hivi, sisi wajuba inakuaje? [emoji3]
Anaitwa Wilson
 
Kule hutoroki, ila unatoroshwa…

Na mpaka watake kukutorosha…

Tena ukiwa pisi kali ndo kabisaaaaa…HUTOROKI na HUTOROSHWI [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] 200k zililiwa, sikutoroshwaa, plus adhabu na mateso juu.

Ila siku kusema kesho tunarudi home kutoka kambini, jinsi wale wajex walivyokua wanatoa maneno ya busara na utu, had najiuliza ndo hawa hawa wapiga kwaxoo aaah wee.

Jeshi sio kwa kukimbilia.
 
Bajeti Kuu ya Serikali inasomwa leo Bungeni
Yaaaah itatupa Dira vijana 2a
[emoji23][emoji23][emoji23] 200k zililiwa, sikutoroshwaa, plus adhabu na mateso juu.

Ila siku kusema kesho tunarudi home kutoka kambini, jinsi wale wajex walivyokua wanatoa maneno ya busara na utu, had najiuliza ndo hawa hawa wapiga kwaxoo aaah wee.

Jeshi sio kwa kukimbilia.
Yaaani kuna watu wapo humu humu na wanapambania hizi nafasi ila 6weeks tu hawatavumilia watatoroka tu nasemaje 😂😂😂wataondoka tu
 
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.

NB: Depo ya kihangaiko ya mvua ni balaa wazee. Jiandaeni kisaikolojia. Sijawahi kupiga hiyo, ila atleast kwa mazingira flani nimewahi kuona.
Kawacheki pale base mkuu
 
ioo
Yaaaah itatupa Dira vijana 2a

Yaaani kuna watu wapo humu humu na wanapambania hizi nafasi ila 6weeks tu hawatavumilia watatoroka tu nasemaje 😂😂😂wataondoka tu
iko wazi mbona😂, hakunaga bogi linapita bila ya watu kukimbia
 
We unafanana na mimi kuanzia mwaka wa mapambano mpaka cheo cha mbanga. [emoji28] Tuwaombee mabaya kweli.
[emoji23]kuna siku nilimuandikia sms sasa "Faza leo hii unanikunjia lakin jua una watoto pia kuna leo na kesho" niliamua kuifuta tu, namuona kama adui tu kwangu
 
Yaaaah itatupa Dira vijana 2a

Yaaani kuna watu wapo humu humu na wanapambania hizi nafasi ila 6weeks tu hawatavumilia watatoroka tu nasemaje [emoji23][emoji23][emoji23]wataondoka tu
Waende wakajionee wenyewee huko huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom