Black Codes Cracker
Senior Member
- May 7, 2022
- 188
- 238
- Thread starter
- #661
Tumefanyaje 😀😀Nyiee watu aaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumefanyaje 😀😀Nyiee watu aaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀 haya mambo bhna.. nacheka kama mazuriWakuu leteni lonja,Mbanga hapokei simu.
Umenichekesha sana mkuu na wangu hapokei😂Wakuu leteni lonja,Mbanga hapokei simu.
🤣🤣🤣🤣Wakuu leteni lonja,Mbanga hapokei simu.
Nmecheka sana aisee🤣🤣🤣🤣
5 au 6 lazima wakatwe kidogo waende Oljoro mzeeWajuzi wa mambo vipi kama intake hii itachukua watu wengi 5-6K je wote watapigia Kihangahiko au nusu wataamishiwa Oljoro
KUwapatisha tu Moto hawachukui Mtu wa Darasa la Saba nauhakika asilimia 100%Lakini hawa OP Mabeyo darasa la saba pia wamefanyiwa uhakiki kwahiyo inawezekana hili ndio ikawa bogi la mwisho wao kuwepo.
Mbanga hapokei simu vipi hela yako ameshakula au badoWakuu leteni lonja,Mbanga hapokei simu.
Inaonekana wote wameambiana wasipokee 😅Wakuu leteni lonja,Mbanga hapokei simu.
Na wako hapokei?Inaonekana wote wameambiana wasipokee 😅
Ni kweli la saba hakuna anayechukuliwaKUwapatisha tu Moto hawachukui Mtu wa Darasa la Saba nauhakika asilimia 100%
Wangu kazima simu kabisaaInaonekana wote wameambiana wasipokee 😅
Alikuwa hapokei sahv hapatikani kabisaNa wako hapokei?
Ah hili sidhani kwa kweli.Ni kweli la saba hakuna anayechukuliwa
Alikuwa hapokei sahv hapatikani kabisa
Bakabaka lazima livaliwe wakuuWangu kazima simu kabisaa
Tupige Dua nene mkuuBakabaka lazima livaliwe wakuu
Dah noma huyu mbanga bado hajachukua jina wala force number.Tupige Dua nene mkuu
Tuwe na imani mkuu.. bado kuna week moja au mbiliDah noma huyu mbanga bado hajachukua jina wala force number.