Nandiaye
Senior Member
- May 17, 2022
- 125
- 178
Kama napotosha ngoja uoneAcha upotoshaji.
Watu wengine wanatumia hii forum Kama 'source' ya habari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama napotosha ngoja uoneAcha upotoshaji.
Watu wengine wanatumia hii forum Kama 'source' ya habari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema nini tusikupuuze huenda watu wanapiga course kwa maana wengine hatupo kweny system ko tunabashiri tu..Kama napotosha ngoja uone
Amini kaka.Note: Mtu yoyote akikufuata inbox akidai anaweza kukusaidia afu akitaka pesa kwanza usitume jamanii narudia Tena usitume... Coz ronja zikiwepo na matapeli ndo wanaongezeka.. more painful.. [emoji24] Daaah naelekea kukata Tamaa kabisa.
""Pay after Win"
Yaaan umakini mkubwa unatakiwa..
Mkeka umetoka ?Polisi huko watu washakula ndoigd
Ndio mkuu mkeka wa usaili umetokaMkeka umetoka ?
Sasa uo mkeka uko wap na ni wa Jw Au PTNdio mkuu mkeka wa usaili umetoka
Watu walishaendaga na wanakaribia kumaliza eti mtuu unamwambia anaona kama unadanganya.Aya aendelee kusubiriaSema nini tusikupuuze huenda watu wanapiga course kwa maana wengine hatupo kweny system ko tunabashiri tu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tatizo ni hao wanaokaribia kumaliza wenyewe wanapigia kozi wap akati kihangaiko apo wamemaliza tarehe 28 hao wengne wako wapi au ndo wameitwa ila course badoWatu walishaendaga na wanakaribia kumaliza eti mtuu unamwambia anaona kama unadanganya.Aya aendelee kusubiria
Sio wanakaribia kumaliza, washamaliza na tangu alhamisi ya tarehe 2, wameanza kuripoti kwenye vikosi walivyopangiwaWatu walishaendaga na wanakaribia kumaliza eti mtuu unamwambia anaona kama unadanganya.Aya aendelee kusubiria
Sahihi…[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tatizo ni hao wanaokaribia kumaliza wenyewe wanapigia kozi wap akati kihangaiko apo wamemaliza tarehe 28 hao wengne wako wapi au ndo wameitwa ila course bado
Good sayDecember to remember
Kaka southern boy embu tupe ronja la uhakika ila December aivuki na mpaka Sasa walioitwa ni military science tu.ilianza jun mwishoni,jully mwishoni ,august mwishoni,september mwishoni, october mwishoni, november mwishoni na saahizi tusubiri december mwishoni au 2024 mwishoni