Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelimu gani na umesoma kozi gani chuoni..!?Eti wakuu Kuna kuwaga na na nafasi za kwenda Kozi ya ajira direct jwtz Kwa Mtu ambae hajapitia JKT na usahili hajafanya? make Kuna watu walinicall wakanambia hvyo ila mwishoe nilikuja kugundua Ni matapeli
Usairi Gani hajafanya ukifika uko ndo utakutana na huo usahili kwanza kabisa ungewatukana hao jamaa matapeli wengi mjini ila piah chunguza huenda ni ndugu yako kakupa connection unaikataaEti wakuu Kuna kuwaga na na nafasi za kwenda Kozi ya ajira direct jwtz Kwa Mtu ambae hajapitia JKT na usahili hajafanya? make Kuna watu walinicall wakanambia hvyo ila mwishoe nilikuja kugundua Ni matapeli
Elimu ya chuo KikuuUnaelimu gani na umesoma kozi gani chuoni..!?
Tuanzie hapo kwanza halafu mengine yatafuata [emoji2]
Kama hadi kozi umeshindwa kuitaja ndugu yangu, kweli ukiulizwa maswali yenye lengo la kukatisha tamaa, utatoboa kweli..!? 😅Elimu ya chuo Kikuu
[emoji1787][emoji1787]duuuh watu mna mamboKama hadi kozi umeshindwa kuitaja ndugu yangu, kweli ukiulizwa maswali yenye lengo la kukatisha tamaa, utatoboa kweli..!? [emoji28]
Wanaendelea na usahilisouthernboy Zafrain sag wakuu kinaendelea nini huko millitary science mpaka sasa
usahili walisha maliza kitambo sana sahizi wapo tuu pale makutupora wanasubiri kwenda koziWanaendelea na usahili
Ndio nahis Ivo ila wiki ijayo wanaanza kupanda Rtsusahili walisha maliza kitambo sana sahizi wapo tuu pale makutupora wanasubiri kwenda kozi
[emoji1787]ukwelii mchungu...Bila connection ya uhakika hutoboi kuwen na plan B
Hahahaaaa[emoji1787]ukwelii mchungu...
nimemuuliza elimu yake na kozi aliyosoma chuo kikuu (kama kafika), yeye ananijibu tu “elimu ya chuo kikuu”…[emoji1787][emoji1787]duuuh watu mna mambo
[emoji1787][emoji1787] ko kwenye usahili atafeli mapema aunimemuuliza elimu yake na kozi aliyosoma chuo kikuu (kama kafika), yeye ananijibu tu “elimu ya chuo kikuu”…
Si unaona mwamba anavyoanza kufeli mapema… [emoji28]
mnooo 😅[emoji1787][emoji1787] ko kwenye usahili atafeli mapema au
jamani mm nina miaka 24 na pia nina elimu ya chuo kikuu area ya uhasibu ninataka kwenda JWTZ je nitaweza maana nina kitambi kiasi na 85kg hivi?