Black Codes Cracker
Senior Member
- May 7, 2022
- 188
- 238
- Thread starter
- #121
Miaka 24 kilo 85! Ulikuwa unakula nini mkuu?
Anyways, punguza kwanza uzito, maana kwa kilo hizo, JKT tu hutoboi… UTAKUTWA NA MIPRESHA YA HATARI….
Au kwanza tafuta nafasi ya Jkt, utaenda kupungulia hukohuko (kwenye zile wiki za uzalendo tu) 😅…
Baada ya hapo henya huku ukisubiri ajira, ikiwa bahati yako, utapata tu…