Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

JW hamna simu wala nn ukiwa kikosini unaitwa tuu ofisini uondoke ukaripoti na ukiwa mtaani ndugu yako aliekufanyia mchongo atakupa taarifa.Ajira za jw ni michongo tu 99.99% kama una connection tunza damu karibuni tuu wanachukua tena kimyakimya. sisi watoto wa maskini walitudanganya kwa kutangaza kumbe ni sìasa
Ukweli mchungu sana huu, mnooo
 
Watu walishaitwa tokea mwaka jana kimya kimya, kutangaza ilikuwa ni shinikizo la wanasiasa make jw wana utaratibu wao wa kuchukua watu waliopo makambini....poleni sana vijana ila mjifunze kutowaamini wanasiasa.

Ebu fikiria mtu alirudi nyumbani baada ya kumaliza mafunzo jkt na sasa hana ajira umri imeshagonga miaka 33+ mtoto wake atategemea nini kutoka kwake.

Nchi inategemea vijana lakini vijana nao wamekuwa hopeless sana, wakishapata nafasi wanakuwa corrupted na system hadi wao kutoelewa jukumu la kulinda na kutengeneza njia sahihi kwa vizazi wanaokuja...
Huko majeshini watu wamekuwa corrupted hadi inatia kinyaa.
 
Sasa yupi tumuamini hapa huyu anasema watu walishaitwa mwaka Jana kimya kimya huyu anasema mwezi huu Sasa ipi uhakika
Wewe ujiongezi nafasi zilitangazwa mwaka jana na sasa inaelekea mwaka...kama kulikuwa na ulazima na uhitaji wa makamanda lazima watu wawe wameshaajiriwa...tofauti na hapo utakuwa unasubiri meli uwanja wa ndege...tumia common sense.
 
Kweli lakini
 
hata ukiwa na 35 mzee sifa ni connection tuu unaingia,akat tupo jkt kuna jarida tuliletewa kikosini Gen Mkunda kipindi ni mkuu wa mafunzo alikuwa anamuhoji mmama alikuwa na miaka 45 halafu yupo kwente kozi ya rts na alimaliza vizuri tuu
duu..h wacha nitafute connection kwanza ikiwezekan nilishie
 
Ngoja tusubiri mwezi huu nao tuone labda mambo yatakuwa vizurii
Amini kwamba watu wameshakaa chini wakabuni mazingira yao ya kuupiga mwingi kwenye chaguzi zijazo tena mm ninaona. Kabisaa watu watakaoitwa kwenye iyo ajira watakuwa ni wengi saana tu kutoka uraiani tena bila kupiganisha Wala nn so apo kinachoitajika ni stamala tu na kunywa Maji mengi ili kusudi moyo uelee vijana mpo hapo!!!
 
Tupe lonja mkuu David 001... mwezi huu uhakika au?
 
Juzi na mdogo wangu nime msent jkt ana 24yrs ana bachelor ya business ni 'KE' vipi asilimia ya kuajiriwa TPDF ukoje kwake asee.Maana najipa hope umri wake na elimu yake nikiamini anaweza kutoboa iwe isiwe.
Je wakuu wangu kwa muonavyo hii imekaaje.
 
Back
Top Bottom