mdalamishi
Senior Member
- Apr 15, 2023
- 190
- 187
Duh kwaio mwanao uhakika wakupata izo nafasi ni asilimia 100?Kukesha wiki sita?šNna mwanangu(mtoto wa anko)yeye nafasi njennje kupata na anapenda sana sema tangu zamani mboga saba
Anatak ateme nafasi maana kila akiuliza anaambiwa huko ni kibembe
Mimi ndo nampaga hopeila yeye anaona asije kuwa kituko huko au akafa kabisaš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£