Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.

NB: Depo ya kihangaiko ya mvua ni balaa wazee. Jiandaeni kisaikolojia. Sijawahi kupiga hiyo, ila atleast kwa mazingira flani nimewahi kuona.
Nenda Lugalo jeshini pale getini upige hodi uulizie na uwe umeaga kabisa ndugu zako wa karibu.
 
Fafanua mzee
Hizo mbwembwe hapo shule ndio majina yanayoka kurud makao ijulikane walioingia kweny mfumo n watu fulan..... Wayback Kuna mwamb alkua jax akaenda cpp ila kabl koz haijaaza wenzak wakaula Jw mwamb huyo akaamsha nae akatimb rts wakaulza mbn jina lake halipo ye akasema waulizen wana me pia nilkuepo lbd limesahaulika huwez amin aliandikw naskia sasa uoni kam Rts ndio mamb yote hapo jina litoke hapo liende utumishi....MAONO YANGU HAYO CHANGANYA NA YAKO NA MBANGA WAKO HUKO😂😂😂
 
Hi

Hii ilitokea kwa wale waliokuwa wanajenga Chamwino wengi walienda polis then waliobaki wakaitwa rts kuna njemba zilirudi rts na zikapokelewa ila shida ilikuja kwenye Payrol
 
Ivi
Tiss
Tpdf
Police
Migration
Fire
Magereza na
Tanapa

Nani anajila kwa maaana kazi na maisha baada ya course majukumu ukilinganisha na mshahara na marupurupu yake

Vipi ni Sawa mtu kuacha shughuli binafsi zenye kutengeneza kipato 2.5m kwa mwezi na kwenda course ya ajira kati ya majeshi hapo juu

Elimu diploma ya afya
 
Komaa na mishe nyingine mkuu, ili sisi jobless wapambanaji tupate nafasi kirahis [emoji1](jokes) .. lakini ni heri ukomae na biashara maana waswahili wanasema "usiache mbachao kwa msala upitao" unaweza enda kozi na usitoboe
 
Big point unajua wahitimu wa wanyama poli Kwanzia intake gan hajapata hizo ajira ni kisanga aseee mpk uwe na connection nzito hasaaaaaa...
Hapa namaanisha JU01 NCAA, JU 02 tanapa, JU03 TAWA....ukiachilia mbali 04 Tfs
 
Back
Top Bottom