Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Kwangu anafanya ivo ivoWakuu vipi mbanga wanapokea simu na kujibu meseji huko?... huku kwangu ni mwendo wa Bluetick [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu anafanya ivo ivoWakuu vipi mbanga wanapokea simu na kujibu meseji huko?... huku kwangu ni mwendo wa Bluetick [emoji1]
Aisee hizi sio za uso kweli... lakini ngoja tuzidishe dua mzeeKwangu anafanya ivo ivo
Message anaona lakini hareplyWakuu vipi mbanga wanapokea simu na kujibu meseji huko?... huku kwangu ni mwendo wa Bluetick [emoji1]
Oyaa kaka acha tuu.Message anaona lakini hareply
Kama ulishampa details zako poa tu.Wakuu vipi mbanga wanapokea simu na kujibu meseji huko?... huku kwangu ni mwendo wa Bluetick [emoji1]
Na ambao hawajachukua details vp apoKama ulishampa details zako poa tu.
Tusubiri miujiza 😅Na ambao hawajachukua details vp apo
Doooh😂😂😂😂Na ambao hawajachukua details vp apo
Nenda Lugalo jeshini pale getini upige hodi uulizie na uwe umeaga kabisa ndugu zako wa karibu.Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya kihangaiko ya mvua ni balaa wazee. Jiandaeni kisaikolojia. Sijawahi kupiga hiyo, ila atleast kwa mazingira flani nimewahi kuona.
Fafanua mzeeMchezo mzima unaishia Rts wazee
Oya, sili vinyeo mimi…Nenda Lugalo jeshini pale getini upige hodi uulizie na uwe umeaga kabisa ndugu zako wa karibu.
Kila kitu anacho, Niwe mpole au sio,[emoji1]Kama ulishampa details zako poa tu.
Hizo mbwembwe hapo shule ndio majina yanayoka kurud makao ijulikane walioingia kweny mfumo n watu fulan..... Wayback Kuna mwamb alkua jax akaenda cpp ila kabl koz haijaaza wenzak wakaula Jw mwamb huyo akaamsha nae akatimb rts wakaulza mbn jina lake halipo ye akasema waulizen wana me pia nilkuepo lbd limesahaulika huwez amin aliandikw naskia sasa uoni kam Rts ndio mamb yote hapo jina litoke hapo liende utumishi....MAONO YANGU HAYO CHANGANYA NA YAKO NA MBANGA WAKO HUKO😂😂😂Fafanua mzee
Hii ilitokea kwa wale waliokuwa wanajenga Chamwino wengi walienda polis then waliobaki wakaitwa rts kuna njemba zilirudi rts na zikapokelewa ila shida ilikuja kwenye PayrolHizo mbwembwe hapo shule ndio majina yanayoka kurud makao ijulikane walioingia kweny mfumo n watu fulan..... Wayback Kuna mwamb alkua jax akaenda cpp ila kabl koz haijaaza wenzak wakaula Jw mwamb huyo akaamsha nae akatimb rts wakaulza mbn jina lake halipo ye akasema waulizen wana me pia nilkuepo lbd limesahaulika huwez amin aliandikw naskia sasa uoni kam Rts ndio mamb yote hapo jina litoke hapo liende utumishi....MAONO YANGU HAYO CHANGANYA NA YAKO NA MBANGA WAKO HUKO😂😂😂
Sisi tulio kitaa tunafanyaje??wataingia
Kaka taratibu ameteleza ndugu yetuOya, sili vinyeo mimi…
Acha shobo na nyuzi za watu …
Mother fanta 😅
Komaa na mishe nyingine mkuu, ili sisi jobless wapambanaji tupate nafasi kirahis [emoji1](jokes) .. lakini ni heri ukomae na biashara maana waswahili wanasema "usiache mbachao kwa msala upitao" unaweza enda kozi na usitoboeIvi
Tiss
Tpdf
Police
Migration
Fire
Magereza na
Tanapa
Nani anajila kwa maaana kazi na maisha baada ya course majukumu ukilinganisha na mshahara na marupurupu yake
Vipi ni Sawa mtu kuacha shughuli binafsi zenye kutengeneza kipato 2.5m kwa mwezi na kwenda course ya ajira kati ya majeshi hapo juu
Elimu diploma ya afya
Big point unajua wahitimu wa wanyama poli Kwanzia intake gan hajapata hizo ajira ni kisanga aseee mpk uwe na connection nzito hasaaaaaa...Komaa na mishe nyingine mkuu, ili sisi jobless wapambanaji tupate nafasi kirahis [emoji1](jokes) .. lakini ni heri ukomae na biashara maana waswahili wanasema "usiache mbachao kwa msala upitao" unaweza enda kozi na usitoboe