Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Duh kwaio mwanao uhakika wakupata izo nafasi ni asilimia 100?
 
Sio 100 Ila zipozipo,watu wakubwa zaidi kuliko sisi wengine na wako serious kumpambania ni mwenyew tu anambwela
Katika kumbukumbu zangu Kuna wale wa mwaka jana tangu march nafasi zilipotangazwa waliokuwa na uhakika wa kwenda rts lakini ikapita kimya kimya mpaka sasa mbanga zao hazipokei simu.
 
Katika kumbukumbu zangu Kuna wale wa mwaka jana tangu march nafasi zilipotangazwa waliokuwa na uhakika wa kwenda rts lakini ikapita kimya kimya mpaka sasa mbanga zao hazipokei simu.
Inategemea mkuu,wengine hawapigi simu,wanapigiwa na hizo mbanga kuulizwa.Na zingine wanalala nazo nyumba moja kabisa.We differ aisee
 
Inategemea mkuu,wengine hawapigi simu,wanapigiwa na hizo mbanga kuulizwa.Na zingine wanalala nazo nyumba moja kabisa.We differ aisee
Uhakika mkuu haya mambo ni maelekezo tu,,,, wapo wanaoambiwa mpango uliopo mbele yako ni kwenda kuuma mzigo,,,,alafu Kuna Mimi hapa tuna ng'ang'aa macho kusumbua mbanga ambazo zipo zinasikilizia mibuyu yao itoe hatma full majonz
 
Waziiii hiyo mkesha six weeks....asubuh mbio urudi unywe chai then mzigon lunch then mbio urud Kama mwepes utaoga ule ground mpaka asubuh kubeba minguzo iweke kwenye marudio hiyo kweny hizo wiki sita za mwanzo Qmm...qeee😂😂
6 weeks tifu lake ni hatari sana inataka moyo pale inabidi uwe strong sana. Ila mbona wadada wanatoboa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…