Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Na kila mwaka wanapokea watu kupigisha kozi wanarudi kusota mtaa ajira hamna... Kama pasiansi mwaka jana walichukua watu kama kawaida na mwez wa tatu mwaka huu tena wakarudia kuchukua

Eneweiiiiiiiiii hizi mambo ni ngumu sana
 
Kaka taratibu ameteleza ndugu yetu

Askari mbona unajaa nyembe mapema sana
😂😂😂
Askari mzuri ni yule anayenusa hatari mapema kabla hajachelewa…

Amekuja bila gadi, anachezea za wastani tu 😅…

Alafu askari tunajuana, kuna code ukinipa najua huyu poti mwenzangu, nakausha..

Kaja kiraia, kavamia bogi halimuhusu, kawa mng’ao….dawa yake unaa tu 😅
 
Komaa na mishe nyingine mkuu, ili sisi jobless wapambanaji tupate nafasi kirahis [emoji1](jokes) .. lakini ni heri ukomae na biashara maana waswahili wanasema "usiache mbachao kwa msala upitao" unaweza enda kozi na usitoboe
Sure man maana nilienda nikakaa mwezi nikarudi imagine making 2m+ per month af ghafla uwe busy na fatiq mabio na self defense for 10 months bila kuingiza chochote ni tough sana maana akili inakua haitulii.

Shida inakuja baada ya kurudi uraian unakua na stress sana, af unakuta fursa pia wanao walio kutangulia wanataka urudi kambini

Af ile hali ukiingia jeshi tu linakukaa kwenye damu...

What would you do if you were me.
 
Eleza kwa upana mkuu
 
Eleza kwa upana mkuu
Nilipata mbanga

Nikapata nafasi, nikaitwa depo nmenda nmekomaa mwezi mzima, kila kitu kipo poa course nyepes haina mambo mengi.

Shida inakuja mtaani nilikua na harakati zangu, si haba .... kila siku nikawa naona kama fursa zinaniacha so nkafanya namna nkaomba kurudi niendelee na mishe mishe.

Haya nmerudi uraian wanagu (mbanga wengine) wanataka niingie sehem walipo wao kwamba kule nilienda ningejila

Ndio maana hapo juu niliuliza kuhusu wapi pana mislai mazuri na wapi ukienda unakua umejila,

Au bora kukomaa tu na mtaaa.

Natumaini umeelewa
 
Ilikua kozi gani mkuu??
 
Ulienda kozi gani mkuu na kwa sasa hapo mbaga wengine we apo chombo gani hapo mbn unaacha Dot's????
 
Nikisema nilikua wapi ntakua nasaliti jeshi kaka af mbanga nnaweza pata sehem 4 tofauti ndio maana nkasema generally kwamba

Wapi pazuri na wapi unajila...

Ila nikisema nilikua wapi ntakua nakosea heshima pale nilikua
 
Big point unajua wahitimu wa wanyama poli Kwanzia intake gan hajapata hizo ajira ni kisanga aseee mpk uwe na connection nzito hasaaaaaa...
Hapa namaanisha JU01 NCAA, JU 02 tanapa, JU03 TAWA....ukiachilia mbali 04 Tfs
Ni noma sana mkuu huko Maliasili kuingia sio kizembe inabidi uwe na connection haswaa
 
Nikisema nilikua wapi ntakua nasaliti jeshi kaka af mbanga nnaweza pata sehem 4 tofauti ndio maana nkasema generally kwamba

Wapi pazuri na wapi unajila...

Ila nikisema nilikua wapi ntakua nakosea heshima pale nilikua
I personally know watu waliopo TISS na JW i can say unaona kabisa kuna maisha mazuri. Ukiwa na uhakika wa kwenda mpaka Monduli pale ni heri JW nilikuwa napiga story na usu mmoja last month akanionesha mshahara wake nilikubali 🙌🏽 ila uhuru ndio hakuna
 
Nikisema nilikua wapi ntakua nasaliti jeshi kaka af mbanga nnaweza pata sehem 4 tofauti ndio maana nkasema generally kwamba

Wapi pazuri na wapi unajila...

Ila nikisema nilikua wapi ntakua nakosea heshima pale nilikua
Huko Maliasili kama una Bachelor ingia huko kuna unyama mwingi sana , na hakuna mambo mengi kama JW na kwngineko
 
Ni kweli kabisa majeshi yote TZ JW na TISS ndo yanaongoza kwa maisha, japo ni Risky
 
Nikisema nilikua wapi ntakua nasaliti jeshi kaka af mbanga nnaweza pata sehem 4 tofauti ndio maana nkasema generally kwamba

Wapi pazuri na wapi unajila...

Ila nikisema nilikua wapi ntakua nakosea heshima pale nilikua
Kama una mtu wa uhakika wa kukupeleka Monduli, nenda JW hutojutia.
 
Ni noma sana mkuu huko Maliasili kuingia sio kizembe inabidi uwe na connection haswaa
Uhakika mkuu wapo wanangu saivi wanapiganisha wavae baka baka maan huko sio akitaka kuamini aangalie graduate wa pasiansi toka mwaka gan ajira apeche alolo
 
So unataka kusema mtu akiingia na 4m4 div range 1,2-3 anauwezo wa kuvaa nyota...
Akiwa na mbuyu
 
Naam jw anapiga parefu , uhuru nao ni jambo la msingi.


Vipi kuhusu Migration.....

Mimi najaribu kuchambua kwa kuzingatia haya
1.mshahara
2.majukumu ya kazi
3.uhuru
4.vituo vya kufanyia kazi
5.maisha ya wengi walio tutangulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…