Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mwez wa nane uhakika. Kuna mshua flan hiv kanitonya
 
Haya mambo mtu bora atafte mishe asitegemee kabisa huku
Mijadala ni mingi na kila mtu anasema anavyojua
Uhakika bro ngoma ngumu huko...ndio maana unaona wajuba wanasema mbanga hazipokei cm bila kujua mbanga zenyewe zinasubili maelekezo kwa mibuyu yao
 
Kuna mbanga ipo makao kule, anasema kule ni mapambano, maana kila mkubwa, anamkubwa wake…

Wakuu, MUNGU AHUSIKE SANA
 
Yuko wapi yule jamaa aliyesema mzigo September...maana anaweza kuwa na info nzur maana nimetonywa na PT wa hapo skonga leo mwez huu wa 7 mwazon watu wanaweza kuanza ku report ila kozi inaweza kuanza huo mwez wa tisa duuuh emu wafikilie ianze hata wa 8 maana ndugu zangu Wana uchu sana na kitenge🥺
 
Bora ata iwe hvo kuliko kuendelea kukaa mtaani Bora kukaa uzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…