Swardolf102
JF-Expert Member
- Apr 6, 2024
- 295
- 320
Jau mwanangu🤣🤣 noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jau mwanangu🤣🤣 noma
Mwez wa nane uhakika. Kuna mshua flan hiv kanitonyaKwa taarifa nilizonazo ni kama za huyo mwamba hapo juu..
Maana nimeambiwa kozi itaanza katikati ya mwezi wa saba au mwezi wa nane. Ila kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa saba, wadau watakuwa kwenye UZALENDO..
Maana yake hapo, ndani ya wiki hii inayoanza kesho, ambayo ndo wiki ya mwisho ya mwezi wa sita, watu wataanza kupanda RTS ili mwezi wa saba wakawe wazalendo
Haya mambo mtu bora atafte mishe asitegemee kabisa hukuDuuuh wajuba kila mtu kashika kipaza ana nadi lake September December no course 😂😂😂
Uhakika bro ngoma ngumu huko...ndio maana unaona wajuba wanasema mbanga hazipokei cm bila kujua mbanga zenyewe zinasubili maelekezo kwa mibuyu yaoHaya mambo mtu bora atafte mishe asitegemee kabisa huku
Mijadala ni mingi na kila mtu anasema anavyojua
Huu mwaka ni nouma🙌Kuna mbanga ipo makao kule, anasema kule ni mapambano, maana kila mkubwa, anamkubwa wake…
Wakuu, MUNGU AHUSIKE SANA
Bora ata iwe hvo kuliko kuendelea kukaa mtaani Bora kukaa uzalendoYuko wapi yule jamaa aliyesema mzigo September...maana anaweza kuwa na info nzur maana nimetonywa na PT wa hapo skonga leo mwez huu wa 7 mwazon watu wanaweza kuanza ku report ila kozi inaweza kuanza huo mwez wa tisa duuuh emu wafikilie ianze hata wa 8 maana ndugu zangu Wana uchu sana na kitenge🥺
Uhakika bro ukiwa huko inakua inakutia moyo kwa nadhiri ulizojiwekeaBora ata iwe hvo kuliko kuendelea kukaa mtaani Bora kukaa uzalendo
July 1,2024 wazee,mwezi wa sita shwaaUhakika bro ukiwa huko inakua inakutia moyo kwa nadhiri ulizojiwekea
🤪🤪🤪July 1,2024 wazee,mwezi wa sita shwaa
Mbanga zinasemaje huko?
kuweni na subraLonja jiiiiiii, mbanga ziiiiiiii…Wanangu doro kabisa, dah 😬
Hata mimi nina wasiwasi mkuu [emoji1]Kimya kimetawala humu au wanangu mshatimba kmy kmy
[emoji23][emoji23]
Sema bado mkuu watu hawajaanza kuingia huko... Labd ndugu zetu mambo yamekua mengi upande waoHata mimi nina wasiwasi mkuu [emoji1]
Tuna ogopa comment apa ovyo Kuna taifa linafatilia hizi mambo usije potosha watu wakawa vichaa😂😂😂Kimya kimetawala humu au wanangu mshatimba kmy kmy
😂😂
Yaah huendaSema bado mkuu watu hawajaanza kuingia huko... Labd ndugu zetu mambo yamekua mengi upande wao