Swardolf102
JF-Expert Member
- Apr 6, 2024
- 295
- 320
Tyr nmeshaweka screenshot angaliaScreenshot hiyo tangazo huko weka hapa picha yake
Siriaz mkuu sitanii. Mm nilisikia kama stori tu sikuamin mpka nikaja kuona jamaa yuko msata kapiga kuruta karudi siku namtembelea kwao nakuta kitenge kimeanikwa. Hapo ndo nikajua dunia kubwa na ina maajabu ya kila aina🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa vigezo nilivyoviona. Tangazo limetoka saa 6 usiku jana, na screenshot yako ninleo saaa 1 na dakika 51, nachelea kusema ni la kweli. Nashukuru kwa taarifa! Nalipeleka umbangani likatazamwe inshallla
Ajira portal ya utumishi haingiliani na nafasi zitolewazo na vyombo vya ulinzi Bali taasisi na baadhi ya mashirika. Hao ni matapeli Wana taka kudanganya watu wakijua nafasi Zina toka lini..na ndio nilicho kua nasubiri tuache kuulizana nili lini wanaita Sasa mnatarehe husika.kunywa maji .nakuekea muhuri apa uone utofauti ulipo ...hakuna barua ambayo muhuri signature Zina ingiliana Kwa muhuri kuanza kisha maandishi yapite juu wajuzi walio kutana na taarifa nyingi za serekali hawaangali mara mbili Wana wajua .Eleza kwa upana mkuu 🤣
Ajira portal ya utumishi haingiliani na nafasi zitolewazo na vyombo vya ulinzi Bali taasisi na baadhi ya mashirika. Hao ni matapeli Wana taka kudanganya watu wakijua nafasi Zina toka lini..na ndio nilicho kua nasubiri tuache kuulizana nili lini wanaita Sasa mnatarehe husika.kunywa maji .nakuekea muhuri apa uone utofauti ulipo ...hakuna barua ambayo muhuri signature Zina ingiliana Kwa muhuri kuanza kisha maandishi yapite juu wajuzi walio kutana na taarifa nyingi za serekali hawaangali mara mbili Wana wajua .
Kote nimepita ndio maana nikajua nini chakuandika. Matapeli Wana tumia watsup kwasbb ni untraceable network Kwa kutumia (end to end encryption).bila shaka umeonaga ukiwa watsup ..kurahisha hili tangazo lingekua in transparency. Japo sio mambo yote ya jeshi ni open...lakini Kwa hili ungepata kweny trusted sources ....nimecheka eti mmetoa ajira portal uko watsup.....Kaangalie huko ajira portal wasap mkuu usibishe kila kitu. Bishabisha kaza fuvu wenzio waombe wapate.. prove kwa kuangalia ajira portal huko wasap usijichoshe kuchambua kila kitu. Au ajira portal nayo huiamini?
Acha ku complicate mambo babuu 🥴🥴Kote nimepita ndio maana nikajua nini chakuandika. Matapeli Wana tumia watsup kwasbb ni untraceable network Kwa kutumia (end to end encryption).bila shaka umeonaga ukiwa watsup ..kurahisha hili tangazo lingekua in transparency. Japo sio mambo yote ya jeshi ni open...lakini Kwa hili ungepata kweny trusted sources ....nimecheka eti mmetoa ajira portal uko watsup.....
Sawa mkuuAcha ku complicate mambo babuu 🥴🥴
Ko unamwambia asicomplicate mambo akati ndo ukweli huo hiyo Ni ya matapeli haiwezekani Millardy Ayo ajatangaza pia kwenye source za uhakika haipo HiyoAcha ku complicate mambo babuu 🥴🥴
La kweli kivipi umepata udhibitisho wapiWakubwa hilo tangazo ni la kweli. Naombeni kujua barua na hivyo vyeti tunatumaje
Nielekezeni namna ya kutuma mengine yatajulikana mbele kwa mbeleLa kweli kivipi umepata udhibitisho wapi
Soma tangazo apo juuNielekezeni namna ya kutuma mengine yatajulikana mbele kwa mbele
Wasioamini wote waajiriwa. Tapeli kaweka taarifa sahihi... au kuna email ya mtu binafsi hapo?Wakubwa hilo tangazo ni la kweli. Naombeni kujua barua na hivyo vyeti tunatumaje
Nimeshasoma ila sijaelewa natuma kwa namna ipi posta auSoma tangazo apo juu
Nimekupa reasons kadhaa kukuelewesha juu ya tangazo na chanzo linapo takiwa kutoka na kuwepo.mwache New member amehaidiwa fasta atume.😂😂kama Leo ndio mwisho kaambiwa. Watu wapo bench 18month Sasa.Wasioamini wote waajiriwa. Tapeli kaweka taarifa sahihi... au kuna email ya mtu binafsi hapo?
Kuna namba za simu kwenye barua jinsi ya kuwasilisha maombi yako ya kujiunga na jeshi.Nimeshasoma ila sijaelewa natuma kwa namna ipi posta au
Namfungulia njia anayo taka.Tangazo lina namba za simu hilo kuweni makin jaman mtatapeliwa kirahisi.
Kumbe ndio maana kiboko ya wachawi anakuwa tajiri kwa ujinga wa watu wachache.
Namba ya sim wewe ya kaz gani mkuuNimekupa reasons kadhaa kukuelewesha juu ya tangazo na chanzo linapo takiwa kutoka na kuwepo.mwache New member amehaidiwa fasta atume.😂😂kama Leo ndio mwisho kaambiwa. Watu wapo bench 18month Sasa.