Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

We acha tu yaan pale kihangaiko ndio mwisho kama mmbanga wako hana maji unatoka kweupeee kuna bog la baba kanituma kabla kozi kuanza mtajione wenyewe
Niliwahi kusema humu, kwamba kuna watu wanavigezo vyote na barua wameandika kwa mwandiko mzuri na watakosa, Ila kuna wengine hakuna kila kitu yaani wana Namba ya simu na Majina yao tu ila watapenya huko
 
Usahili wa kwaza teyari ushafanywa before ata tangazo kutoka uhu walio tangaza wanalengo lao wengine wanasindikiza watu ty ila mm kama nina mtoto wakike sipeleki jeshi
Niliwahi kusema humu, kwamba kuna watu wanavigezo vyote na barua wameandika kwa mwandiko mzuri na watakosa, Ila kuna wengine hakuna kila kitu yaani wana Namba ya simu na Majina yao tu ila watapenya huko
 
Nakumbuka 824kj kanembwa sio poa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…