Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mkuu hawakusema wanazingatia sifa za ziada ni muhimu elimu ya 4 na 6 .
Brazakaka,maneno haya sijasema mimi. nimepewa na Mbanga, ambayo mwanzo iliniambia tangazo la kuandikishwa litatoaka mwezi july sikuiamini, maana mbanga zingine zote zilisema ni September, cha ajabu kweli tangazo lilitoka July 30,so na hili la sifa za ziada nimefikishiwa kama hivo.
 
Asa watajuaje kama una sifa ya Ziada wakati hawakusema uweke na vyeti vingine
Unaruhusiwa kujieleza kwenye barua ya kuomba kuandikishwa juu ya uwezo wako wa ziada ulionao, nadhani hapa wataangalia wale wa OP zilizopita waliokuwa mtaani
 
Duh na kuitwa ni lini kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…