Uncle Reem
Senior Member
- May 14, 2023
- 115
- 210
Hii ni kweli hata mbanga yangu imenidokezea,kuhusu kupeleka mkononi, Ila kitaeleweka tuWanangu za chini ya kapeti wanasema wameanza na waliopeleka barua makao makuu, waliopeleka posta hawakuelewa maelekezo barua za posta hazijafika