Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Kwahiyo sisi wenye 28-30 unatuambiaje..!? πŸ˜ƒ
Tafuta mbanga wala usiangaike na kuchekecha miaka usisumbue vyeti kwani hamjui sheria ya Ajira Nchini?? Sheria haina limit ndogo kiasi icho mwisho kama sikosei 45years ndo mwisho wa kuajiriwa serikalini afu kumbukeni Kihangaiko ni kozi ya Ajira kwaiyo limit zimewekwa kupunguza tu watu
 
Ila kuna watu wanakata tamaa mapema mtu ana age 27 anasema age goo.. intake X tulipiga na wadau wana 34 years na kwenye cheti haijabadilisha kitu ila walikubali wenyewe doso la maana vikwazo viliwanyonga sanaaa
Mm nishaona watu age 30+ mbanga anawapigania
 
Kwamba kuna watu wanaamini, watoto wa viongozi wenye 30+, na hawakupita Jax wanaweza kuzuiwa kujiunga na Jeshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…