Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Uende kihangaiko umefanya kazi gani.. hiyo ndo ntolee mkuu! Hatusikii majina kutoka wala kufanya nn na mbaya zaid haikuainishwa idadi. Kama kuna udi na mafusho mzee kona hizo tuwasiliane
wakati bado tunaulizana majina yatatoka lini,mara tutaitwa lini, unashangaa Millard Ayo ameposti sherehe za kuapishwa askari wapya 6000 hhhh
 
Naoana watu wanaulizia sana kuhusu kuitwa jamani tarehe 14 ilikua juzi tu japo ndio jwtz hua awachelewagi sana kuita watu baada kutuma maombi ila kwa sasa ni mapema mno.. saivi wanachambua wenye sifa wakishamaliza hawawezi kuita watu lazima wakae kikao cha kamati ilioundwa kupitia hayo maombi apo kila mbanga ihakikishe jina la kijana wake lipo😁 baada ya hapo ndio mtaanza kuitwa bado mkifika msata au oljoro kuna usaili mzito ambao hujawahi kuuona apo napo wataachwa watu kibao aisee safari ni ndefu adi uone umeanza kozi
 
Samahan mkuu watu wanaopitishiwa huko rts...majina yao huwa hayaanzii makao au kama wale waliochukua nafasi zenu kwenye panga la unfit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…