Naoana watu wanaulizia sana kuhusu kuitwa jamani tarehe 14 ilikua juzi tu japo ndio jwtz hua awachelewagi sana kuita watu baada kutuma maombi ila kwa sasa ni mapema mno.. saivi wanachambua wenye sifa wakishamaliza hawawezi kuita watu lazima wakae kikao cha kamati ilioundwa kupitia hayo maombi apo kila mbanga ihakikishe jina la kijana wake lipo😁 baada ya hapo ndio mtaanza kuitwa bado mkifika msata au oljoro kuna usaili mzito ambao hujawahi kuuona apo napo wataachwa watu kibao aisee safari ni ndefu adi uone umeanza kozi