Mjukuu wa taifa
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 489
- 458
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhakika mkuu...anaeza bahatika huko kwenye bounds all the time na chuma yake ni kuregeza buti tuKwa kuangalia hizi criterias zako majeshi hayakufai. Kule unaweza kutupwa hata mpakani. Kama hizo mishe zinakupa michuzi komaa nazo tu.
Lazima vigezo na masharti vizingatiwe ndio utaweza kusaidika. Form IV ngumu kuwa Afisa kama hujajiendeleza kielimu.So unataka kusema mtu akiingia na 4m4 div range 1,2-3 anauwezo wa kuvaa nyota...
Akiwa na mbuyu
Napo anapaswa ajiendeleze kielimu vipi mkuu,,, kurisit mtihan wa A-level (4m6) au chuo ngaz ya diploma ama kozi za kijeshi zipo zitakazo mfavourLazima vigezo na masharti vizingatiwe ndio utaweza kusaidika. Form IV ngumu kuwa Afisa kama hujajiendeleza kielimu.
Ndio hivo kakaUhakika mkuu wapo wanangu saivi wanapiganisha wavae baka baka maan huko sio akitaka kuamini aangalie graduate wa pasiansi toka mwaka gan ajira apeche alolo
Shukran sana kwa ushauri kamandaKwa kuangalia hizi criterias zako majeshi hayakufai. Kule unaweza kutupwa hata mpakani. Kama hizo mishe zinakupa michuzi komaa nazo tu.
Asante kwa taarifa mkuu..Update nliyoipata jana ni kuwa;
Uhakiki uliofanyika ni kwa OP- General Mabeyo (Hili linajulikana)..
Ila katika hii OP, watakaochukuliwa wote, ni wale wanaojenga kule kijiji cha Msomera (Tanga) kwa ajili ya Maasai wanaohama Ngorongoro. Kisha wanajaziwa wengine kama wanahitajika.
Kwahiyo wadau mjue tu, mpaka idadi ya wana-msomera iingie Rts, ndo wengine wanaitwa kukaba rofu.
Mibanga ndo muda wake huu wa kupenyeza watu wao kwenye mradi.
Japo juzi, Mkuu wa Utumishi, Brigedia Jenerali Hamza alienda kukagua na kuangalia zoezi la uhakiki yeye mwenyewe.
Hivi kule msomera wapo service wangapi kwa kukadiria?Update nliyoipata jana ni kuwa;
Uhakiki uliofanyika ni kwa OP- General Mabeyo (Hili linajulikana)..
Ila katika hii OP, watakaochukuliwa wote, ni wale wanaojenga kule kijiji cha Msomera (Tanga) kwa ajili ya Maasai wanaohama Ngorongoro. Kisha wanajaziwa wengine kama wanahitajika.
Kwahiyo wadau mjue tu, mpaka idadi ya wana-msomera iingie Rts, ndo wengine wanaitwa kukaba rofu.
Mibanga ndo muda wake huu wa kupenyeza watu wao kwenye mradi.
Japo juzi, Mkuu wa Utumishi, Brigedia Jenerali Hamza alienda kukagua na kuangalia zoezi la uhakiki yeye mwenyewe.
Sijajua ni wangapi mkuu..Hivi kule msomera wapo service wangapi kwa kukadiria?
Itakuwa ndo huyo, kaenda kuhakiki vijana wake..Yes kuna jamaa dogo lake alikua kwenye mrad huo aliwanambia dogo kampanga jamaa kuwa Kuna kamanda mkubwa tuuuu aliwaahidi kuzama chomboni natumai muda umewadia sasa
Ndo hivo master mungu awe nasi katika mapambano yetu.,..🙏🏽Itakuwa ndo huyo, kaenda kuhakiki vijana wake..
😂😂😂😂Kwahiyo wanangu wa jf watakao bahatika kuzama Rts watakua hawajuani kisura juu ya haya manick name ya JF
😂😂😂
Kwahiyo sisi wa Chita tunaowalisha Msomera za uso daaahUpdate nliyoipata jana ni kuwa;
Uhakiki uliofanyika ni kwa OP- General Mabeyo (Hili linajulikana)..
Ila katika hii OP, watakaochukuliwa wote, ni wale wanaojenga kule kijiji cha Msomera (Tanga) kwa ajili ya Maasai wanaohama Ngorongoro. Kisha wanajaziwa wengine kama wanahitajika.
Kwahiyo wadau mjue tu, mpaka idadi ya wana-msomera iingie Rts, ndo wengine wanaitwa kukaba rofu.
Mibanga ndo muda wake huu wa kupenyeza watu wao kwenye mradi.
Japo juzi, Mkurugenzi wa Uandikishaji, Brigedia Jenerali Haji Makanza alienda kukagua na kuangalia zoezi la uhakiki yeye mwenyewe.
Inaweza ikawa bahati yako mzee, omba Mungu tu…Kwahiyo sisi wa Chita tunaowalisha Msomera za uso daaah
Tupo live mkuu, ngoja tusubiri..Wakuu mbanga imenambia tutegemee wiki inayoanza kesho majina kuitwa sasa sijui inanipanga tu