Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Kuna sitofaham hapa. Watu wanawez kupigwa ila inaweza wasipigwe mana hili la namba ni za tpdf. Tapeli kajiweka wapi humo?
 
Attachments

  • Screenshot_20240731_110419_Chrome.jpg
    Screenshot_20240731_110419_Chrome.jpg
    209.3 KB · Views: 14
Kuna sitofaham hapa. Watu wanawez kupigwa ila inaweza wasipigwe mana hili la namba ni za tpdf. Tapeli kajiweka wapi humo?
Sasa nafurahi sana nilichokua nataka kuwaelewesha muelewe angalia namba za simu ulizo screenshot nisawa na izo apo. Alafu Rudi tena
 
Namba ziko saw. Nmepiga simu kuulizia huko tpdf wanasema kama tangazo wametoa ajiraportal wao ndo watalielezea mana jeshi wana taratibu zao
 
Nmepokea taarifa hapa, tangazo ni la kweli. Na limetumwa huko hili liwafikie watanznia wengi zaidi. Litakuwepo pia tpdf kesho
Hahaha huu ni Uongo bwana hakuna japokuwa kuna Mtu mimi kanitonya kuwa ni kweli ila nilivompigia Mzee kasema Tu umetoa wapi Taarifa nikasema Ajira portal akasema sawa yeye hana taarfa hizo😂😂 ila kanishauri Dogo aandike barua iende Dodoma... ila sijui ofisi Gani
 
Godlover muajiriwa.. yupo hapa kwa kazi maalum! Haiwezekan kila kilichoqekwa hapo kibamilikiwa na tpdf yeye anasema ni la kitapeli. Sijui tapeli hapo kajiweka wapi. Na mm nimemtafutia shortcut twende saw.. Chelewa Chelewa ukute mwana si wako
 
Hahaha huu ni Uongo bwana hakuna japokuwa kuna Mtu mimi kanitonya kuwa ni kweli ila nilivompigia Mzee kasema Tu umetoa wapi Taarifa nikasema Ajira portal akasema sawa yeye hana taarfa hizo😂😂 ila kanishauri Dogo aandike barua iende Dodoma... ila sijui ofisi Gani
Maelezo yote hayo kweny pdf bado hujui ofis ya kutuma? Au muajiriwa mwenzetu!? Jobless maelezo yametoshea kabisa na mpaka muda huu mm ndo namalizia malizia hapa posta
 
Godlover muajiriwa.. yupo hapa kwa kazi maalum! Haiwezekan kila kilichoqekwa hapo kibamilikiwa na tpdf yeye anasema ni la kitapeli. Sijui tapeli hapo kajiweka wapi. Na mm nimemtafutia shortcut twende saw.. Chelsea Chelsea ukute mwana si wako
Niamini mtu wa Mungu. Sipo hapa kupotosha.either Kuna taarifa imevuja lakini sio hii.
 
Jmn naombeni sana niwaaminishe kuwa tangazo ni la kweli nililipata kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika jana saa sita kasoro usiku.
Kwa kuongezea ni kwamba waliopo jkt barua hii wamesomewa leo asbh na wameambiwa kwa kuwa wao walishafanya uhakiki zitaanza kusomwa message na watu wataanza kwenda RTS kwa message.
By Zafrain sag.
 
RTS ndo wapi mkuu ili niwahi matizi na mm leo saa 9 tu mambo yasiwe mengi mbanga
 
Yaani hata picha hamuoni jamani chapisho gani chafu ivyo halina mpangilio wa barua au tangazo..mbona la polisi mlisoma vizuri bila haya mashaka.
 
Back
Top Bottom