Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

TANGAZO NI LA KWELI

tumeni application

Darasa la saba, diploma, degree excluded hapa hawajafanya fair
 
Tangazo linasema form four na six,Umri usizidi 25yrs na Jkt miaka miwili
Au kuna lingine?
Kama iki kupendeza ndugu we omba kama ulivyo ona, mi nime kutana nayo tu mtandaoni,na nika kumbuka hii thread, nime rushia mwenye kuhitaji achangamkie, mengine ndugu we chimba zaidi utayaona
 
Kama iki kupendeza ndugu we omba kama ulivyo ona, mi nime kutana nayo tu mtandaoni,na nika kumbuka hii thread, nime rushia mwenye kuhitaji achangamkie, mengine ndugu we chimba zaidi utayaona
Kaka Mimi huko hapana,nawahangaikia madogo
Kwanza age go
 
Ni kweli lipo hata kwenye website
 
Attachments

  • Screenshot_20240731-183120.png
    Screenshot_20240731-183120.png
    947.9 KB · Views: 10
  • Screenshot_20240731-183131.png
    Screenshot_20240731-183131.png
    504.7 KB · Views: 10
Back
Top Bottom