Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Iyo sijui mzee ngoja wajuvi waje lakini sidhani kama ni mwezi huu maana mwisho wa kutuma ni tarehe 14 so apo inaweza kuwa mwezi ujao labda
Watu wanaanza kuzama Mwezi wa tisa rejea Comment zangu huko nyuma zina Code zote ila kisanga Doso watakalo pata hawa so poa bora uende Orj ila ukija Rtiesin Utakubali baba kanisend
 
Mbn Kuna wahuni wanasema barua inabid tupeleke dodoma Moja kwa Moja sio posta hii imekaaje
 
Back
Top Bottom