Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Kwahiyo hao ndio wataoanza kuitwa Rts??.....
Kaka kuitwa RTS ni maelekezo yako tu 😃 Japo kuna afande pale alisema kama umetuma kwa posta "inawezekana" ikawa umejila maana ukipeleka pale kuna details unaongezea nyuma ikiwemo kabila na asili ya baba yako sasa waliotuma kwa posta hawajaandika hivyo vitu.
 
Mimi maombi nilipeleka friday 02,tuliandika taarifa kwenye daftari na pc ila walopeleka kuanzia monday hawakuandikwa kwenye pc🤷‍♂️
 
Baada ya kutamani sana kulitumikia Jeshi la jamhuri kwa muda mrefu na kukosa.

Nikakubali kwamba pengine sijaandikiwa kupata nafasi, nikaamua kurudi kujikita zaidi kwenye Trading na Gambling.

Si haba mambo imenyooka well, maisha yanasonga nafanya ishu zangu bila kuamrishwa na yeyote napata muda mwingi wa kupumzika na familia sasa imeanza kuniheshimu(vikao na ishu mingi lazima nipewe taarifa).

Baada ya maisha kuwa safi sasa baadhi ndugu(wapo maeneo) waliniomba niandae vitu walivyoniambia kisha niwatumie ili niwe miongoni mwa watakaoingia mafunzoni hivi karibuni.

Wamenikera sana na kuniudhi na kutoheshimu maamuzi yangu, maana kipindi nilikuwa nauhitaji nako walijikausha kimya na kunipiga saundi kibao.

Sikutaka kujifikiria wala kupoteza muda wangu tena, zaidi nikatoa jibu kwamba HAPANA. siwezi na sipo teyari kwenda mafunzoni.

Nimeridhika sasa na maisha yangu kwa ujumla na kile chenye nakifanya si haba, na sitamani tena kuajiriwa popote pale.

Niwausie ndugu zangu kama umekosa kitu fulani usihuzunike wala kukata tamaa, maana pengine ridhiki yako ipo pahala pengine. Usije lazimisha kitu fulani hata kama ulitamani sana kukipata ilihali kimegoma kuja kwako, kunjua roho Mungu atakubariki utapata kilichobora na kukustahili zaidi.

Hallelujah!!!
 
Kama ninakujua vile mkuu kwa hii story yako ina relate na jamaa ang mmoja hivi 🥱
 
Natamani sana na mimi siku nikubaliane na hali kama ulivyofanya wewe.
 
Kama nikikosa mwaka huu namimi nafocus rasmi na mambo yangu mengine.
 
Hii ni kweli hata mbanga yangu imenidokezea,kuhusu kupeleka mkononi, Ila kitaeleweka tu
Tanzania kubwa jaman Ivii kila mtu akisema aende makao wakajazane kama kuna usahili ingekuwaj mpk wa Zanzibar nao waendee makao kweliii.....kikubw ni kutuma kwa wakati kwa walio tumia posta. na kwa wakalibu sio mbaya mkipeleka kwa mkono makaoo basii
 
Cha kwanza watu waondoe wacwac na swala hili tuma kwa posta au kupeleka mkononi yote mema kikubwa tu Ni kumuomba MUNGU na mbanga wako kila kitu kiende sawa.Vijana muda huu kunyweni Maji sana kwa wingi mengne mtayakuta tu mbio nying sana,stick nyngi sana.. Kumbuka hakuna reeheso ya mafunzo ya RECRUITS
 
MUNGU awatangulie hustlers wote wenye nia ya kubadili hali ya nyumbani
 
Kwa ninavyohisi na ninavyoj wenye ufundi wengi watakuwa ni wale kutoka vikosini ambao pia watakuwa ni wengi zaidi kushinda ambao wanatoka .

Mimi maombi nilipeleka friday 02,tuliandika taarifa kwenye daftari na pc ila walopeleka kuanzia monday hawakuandikwa kwenye pc🤷‍♂️
Na kiuharisia adi wamesema utume posta wao sio wajinga barua zote zitafatwa posta na watazipitia..mwisho wa siku zote hizi ni mbwembwe ndugu zangu kitu cha muhimu uwe na mbuyu nyuma yako kuna mtu ata barua hajatuma na utamkuta kwenye mafunzo..na ukitumiwa sms usizani ndio umepata yani kuna usaili huo wa vipimo na vyeti hapo ndio kuna uhuni mwingi jipange..usihangaike kunywa maji mengi kwa sasa wala kufanya mazoezi sema mungu nisaidie nimalize kozi kama ukipata ushawahi kuitwa jina lako alafu hata kuitika kusema naam huwezi😂 karibuni vijana
 
Na kiuharisia adi wamesema utume posta wao sio wajinga barua zote zitafatwa posta na watazipitia..mwisho wa siku zote hizi ni mbwembwe ndugu zangu kitu cha muhimu uwe na mbuyu nyuma yako kuna mtu ata barua hajatuma na utamkuta kwenye mafunzo..na ukitumiwa sms usizani ndio umepata yani kuna usaili huo wa vipimo na vyeti hapo ndio kuna uhuni mwingi jipange..usihangaike kunywa maji mengi kwa sasa wala kufanya mazoezi sema mungu nisaidie nimalize kozi kama ukipata ushawahi kuitwa jina lako alafu hata kuitika kusema naam huwezi[emoji23] karibuni vijana
Jeshii si lelemama
 
Na kiuharisia adi wamesema utume posta wao sio wajinga barua zote zitafatwa posta na watazipitia..mwisho wa siku zote hizi ni mbwembwe ndugu zangu kitu cha muhimu uwe na mbuyu nyuma yako kuna mtu ata barua hajatuma na utamkuta kwenye mafunzo..na ukitumiwa sms usizani ndio umepata yani kuna usaili huo wa vipimo na vyeti hapo ndio kuna uhuni mwingi jipange..usihangaike kunywa maji mengi kwa sasa wala kufanya mazoezi sema mungu nisaidie nimalize kozi kama ukipata ushawahi kuitwa jina lako alafu hata kuitika kusema naam huwezi😂 karibuni vijana
Mazoezi muhimu tufanye kwa afya sio tuyafanye kwamba ndo rehearsal ya koz🤣🤣
 
Baada ya kutamani sana kulitumikia Jeshi la jamhuri kwa muda mrefu na kukosa.

Nikakubali kwamba pengine sijaandikiwa kupata nafasi, nikaamua kurudi kujikita zaidi kwenye Trading na Gambling.

Si haba mambo imenyooka well, maisha yanasonga nafanya ishu zangu bila kuamrishwa na yeyote napata muda mwingi wa kupumzika na familia sasa imeanza kuniheshimu(vikao na ishu mingi lazima nipewe taarifa).

Baada ya maisha kuwa safi sasa baadhi ndugu(wapo maeneo) waliniomba niandae vitu walivyoniambia kisha niwatumie ili niwe miongoni mwa watakaoingia mafunzoni hivi karibuni.

Wamenikera sana na kuniudhi na kutoheshimu maamuzi yangu, maana kipindi nilikuwa nauhitaji nako walijikausha kimya na kunipiga saundi kibao.

Sikutaka kujifikiria wala kupoteza muda wangu tena, zaidi nikatoa jibu kwamba HAPANA. siwezi na sipo teyari kwenda mafunzoni.

Nimeridhika sasa na maisha yangu kwa ujumla na kile chenye nakifanya si haba, na sitamani tena kuajiriwa popote pale.

Niwausie ndugu zangu kama umekosa kitu fulani usihuzunike wala kukata tamaa, maana pengine ridhiki yako ipo pahala pengine. Usije lazimisha kitu fulani hata kama ulitamani sana kukipata ilihali kimegoma kuja kwako, kunjua roho Mungu atakubariki utapata kilichobora na kukustahili zaidi.

Hallelujah!!!
What an inspiration bro!
Hii kubwa mno hapa na itasaidia wengi
 
Cha kwanza watu waondoe wacwac na swala hili tuma kwa posta au kupeleka mkononi yote mema kikubwa tu Ni kumuomba MUNGU na mbanga wako kila kitu kiende sawa.Vijana muda huu kunyweni Maji sana kwa wingi mengne mtayakuta tu mbio nying sana,stick nyngi sana.. Kumbuka hakuna reeheso ya mafunzo ya RECRUITS
Still tena😅
Huyu binti ataweza kweli?
 
Back
Top Bottom