Paracetamol_
Member
- Jul 16, 2020
- 31
- 22
Mimi nilifika mpaka msata kaka kwenye vipimo.. katika sehem unatakiwa umuombe mungu au kama una mbanga unatakiwa uisumbue ni pale kuna figisu nikajaza kuna fomu mtapewa mjaze sijui taalifa zenu binafsi nikajaza kuna taratibu nyingine mtaona nikafanya sasa kwenye vipimo nikafanya yakasomwa majina ya unfit langu likawepo oya wana walikua wanalia tulitemwa
Mkuu wanafanya Vipimo gani paleMimi nilifika mpaka msata kaka kwenye vipimo.. katika sehem unatakiwa umuombe mungu au kama una mbanga unatakiwa uisumbue ni pale kuna figisu nikajaza kuna fomu mtapewa mjaze sijui taalifa zenu binafsi nikajaza kuna taratibu nyingine mtaona nikafanya sasa kwenye vipimo nikafanya yakasomwa majina ya unfit langu likawepo oya wana walikua wanalia tulitemwa 250
Msata?