Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Af jeshini hawapendi unaa yaani kihelehele kuwa mbabaishaji aha watakupenda sanaAaaah kmmke yani Jin's ilivongumu kupata nafas eti nikimbie labda nirogwe. Oa hapo ndo pakujengea maisha yako. Tena inabid upige kaz kwa kuipenda la sivyo utoboi