Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hapan mkuu, mm sio active sana kwa hizi nina iman ndogo sana sana. So naziguaga tu, sijaomba hizi. Lkin taarifa hii nawez kuikubali n nimeambiwa mchakato wa sim n meseji ni too personal wengine wanatafutwa 3 weeks baada ya mchakato kuanza.
Vijana wasivunjike mioyo
Vijana wasivunjike mioyo
Kwani ww si ulisema ushafika mpaka mmepewa na maslesha ya kufyeka