Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Ewaaaah ubarikiwe sana kijana wangu. Nimekutumia hela ya bia hapo angalia kwenye namba yako ya vodaJana jioooooni walianza kuhakiki vyeti vya form six
Leo form six wamepiga medical
Leo pia form four na darasa la 7 wameanza kuhakikiwa vyeti
Usaili wote inatakiwa uwe chini ya wiki tatu
Watu wa mtaani mtaendelea kusubiri kidogo ili hawa walipo uko ili wakipungua wengi nyie wa kitaa mjaze nafasi (the way wakavyofeli hawa ndio idadi ya watu wa mtaani itakavyoongezeka
Jana usiku wote wamepokonywa simu
MPAKA LEO WALE WA SIMU ILIKUWA BILABILA