Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Yawezekana…..maana naambiwa kuna mwaka kozi ilipigwa sehem2 msata na oljoro….msata walianza kozi tareh30 mwezi 12 kuelekea mwaka mpya then oljoro wakaja kuanza kozi baadae mwez wa3.
Jamani lonja niliyo nayo kozi itaanza january mwishoni tutaanza kuingia oljoro mwezi wa 12
 
Yawezekana…..maana naambiwa kuna mwaka kozi ilipigwa sehem2 msata na oljoro….msata walianza kozi tareh30 mwezi 12 kuelekea mwaka mpya then oljoro wakaja kuanza kozi baadae mwez wa3.
Huo mwaka ilikuwa intake ya 41 ambayo walikuwa na ujenzi wa chamwino na wote waliitwa kwa pamoja msata ndo wakakatwa Bogi la watu kama buku kwenda oljoro.. ile ilikuwa special ivo saizi muote hakuna kitu kama icho tena..
 
Hahahah mkuu mbona unakazia sna….au ww upo chomboni tena jikoni pale ngome kabisa kweny ofisi ya CP😄
Huo mwaka ilikuwa intake ya 41 ambayo walikuwa na ujenzi wa chamwino na wote waliitwa kwa pamoja msata ndo wakakatwa Bogi la watu kama buku kwenda oljoro.. ile ilikuwa special ivo saizi muote hakuna kitu kama icho tena..
 
Hakuna mtu anajua kutia moyo kama huyu jamaa #jax66, 😂😂 Watu walikua washaanza kukubaliana na matokeo naona unaoturudisha Tena kwenye mixed feelings mzee🥲😂
Mkuu ni mwendo wa kupiga dua nyingi na uwe mvumilivu😅😅
 
Back
Top Bottom