Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ndio ata bog la msata wamechukua pia mtaaniAnhaa.…so mkuu ilo bogi si ndo litajumuisha na wale waliotuma maombi kwa tangazo lile la mwezi july la kuandikishwa jeshin kwa vijana wa uraiani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ata bog la msata wamechukua pia mtaaniAnhaa.…so mkuu ilo bogi si ndo litajumuisha na wale waliotuma maombi kwa tangazo lile la mwezi july la kuandikishwa jeshin kwa vijana wa uraiani?
Ok, mbona watu humu wanasema eti ilo bog la oljoro halipo ni uongo….kuna ukweli wowote ule mkuu kuhusu ilo?Ndio ata bog la msata wamechukua pia mtaani
Hahaha unamuuliza Bog la Olj halipo kaka hizo ni skendo tu... 🤧Ok, mbona watu humu wanasema eti ilo bog la oljoro halipo ni uongo….kuna ukweli wowote ule mkuu kuhusu ilo?
Ndio mkuu, namuuliza maana yy mwanzo alisema week hii watu wanaanza kuripot oljoroHahaha unamuuliza Bog la Olj halipo kaka hizo ni skendo tu... 🤧
Lini??mdogo wa form six washareport depo
Niliitwa kwenye usaili mbonaWe kijana ww! …..we si ndo uliwaambia wenzio humu kua umepigiwa simu na uelekeo ni dodoma kwenye usaili😄
Niliitwa kwenye usaili mbona
SawaUsaili upi uo uliitwa?!….mbona wenzako hawajafanyia usaili dodoma 😄
leo ndo mwish kulipotiLini??
🤣🤣🤣labda Jktleo ndo mwish kulipoti
Hajaamini Bado.Mkuu watu wanapiga six week wewe bado umekalili usahili
Huu usemi siyo mgeni ndani ya Jf.leo ndo mwish kulipoti
acha kudanganya ummamdogo wa form six washareport depo
Mkuu dionisi manuchoVijana kesho nawaletea Ronja ya uhakika. Tutajua tuendelee kusubili au tulime tu. Ni 100%