Ni lini lecturers watapunguza mamlaka ya kuamua mwanafunzi gani afaulu na yupi afeli

Ni lini lecturers watapunguza mamlaka ya kuamua mwanafunzi gani afaulu na yupi afeli

Kama wewe ni mvivu wa kusoma hawa lecturers watakuhusu sana..!
 
Wanafunzi ambao ni weak ndio wenye mawazo hayo. Lecturer akisahisha kuna external examiners wanasahisha tena. Mwanafunzi kama hajaridhika anayo haki ya kukata rufaa na majibu yake yakapeleakwa kwa appeal examiners. Pote hukuo usipofaulu wewe ni mchovu. Unamlaumu lecturer wako bure tu. Soma kwa bidii, elewa maswali na jibu kwa ufasaha.
 
At some point ndio ..unakuta mwanafunzi anastahili marks flani bt lecturer akiwa na malice nae anampa marks anazotaka yeye na kinachouma zaidi hakuna wa kumlalamikia coz at the end ni yeye ndo anaedetermine maisha yako ya chuo

Ndugu zangu hayo mambo ni ya kusikia zaidi kwani hakuna mwalimu wa chuo mwenye uhuru kiasi hicho cha kuamua juu ya hili. Isipokuwa wanafunzi ni waoga kufuata utaratibu anapohisi kuna shida kwenye matokeo yake kwa kuogopa kinachoitwa "umoja wa walimu" ambao ki ukweli watu wazima litakapounwa jopo say watano wakae na kukubaliana kudhulumu marks za mwanafunzi??????

Hebu zitambueni taratibu za vyuo juu ya mitihani na haki za mwanafunzi linapokuja suala la academic welfare
 
dawa moja kigongo sana kwa lecturers wasumbufu ni kuhakikisha unafanya yafuatayo:
1. Hakikisha unasoma kozi unayoipenda na kuimudu.
2. Hudhuria vipindi vyote darasani.
3. Fanya test na assignment zote.
4. Hakikisha unascore 70%+ kwenye test, assignments na paper zote (jisomee na kuelewa unachosoma)
5. Tusikuone facebook (the greatest time waster for useless people)

ukilenga kufanya hayo hakuna lecturer au mtu yeyote atakayekutisha hapa ulimwenguni, achilia mbali duniani.

hili ndo jibu sahihi.
 
unknown.gif
Member Array

Join Date : 1st September 2013
Posts : 12
Rep Power : 303
Likes Received6
Likes Given0 UMEJIUNGA JANA ILI UPOST UPUMBAVU HUU?......SOMA KWA BIDII ACHA UVIVU, ULIFIKIRI PRIMARY HIYO...
 
Mkuu najua kuna mikwaruzano mingi vyuoni kati ya wanafunzi na wahadhiri wao na matukio kama hayo (wasichana kutongozwa) hutokea. Kwa kufahamu hali hizo ndiyo maana matokeo hupitia hatua nyingi ikiwemo kupitiwa na watahini wa nje (external examiners) kisha senate kuyaidhinisha lakini kabla ya kuidhinishwa na senate lazima zipitiwe rufaa za wanafunzi kwa masomo yaliyokatiwa rufaa. Si hivyo tu bali pia senate hupitia mapendekezo ya watahini wa nje (external examiners recommendation review and implementation) na baada ya kujiridhisha ndipo matokeo huwa rasmi.

Lakini pamoja na yote hayo bado kuna baadhi wahadhiri wasiopenda mambo yaende kiurahisi na ndio hao hufikia hatua ya kutisha wanafunzi na kuwajengea hofu hatimaye kuwafanya wasijiamini na matokeo yake ndiyo hayo kufeli/kufelishwa.

Ifike mahala wanafunzi wafuate taratibu na sheria za chuo zinazowaongoza, hali kadhalika wahadhiri nao (baadhi) wenye kujiona wao ndio "NECTA ya chuo" wabadilike na wafanye kazi kwa kuzingatia taratibu na kanuni zinazowaongoza.
Lakini ili kuweka mazingira sawa mimi naona serikali iweke NECTA ya Vyuo japo ni ngumu ila itasaidia sana.

Mimi nina maono tofauti kabisa kuhusu NECTA ya vyuo. Hii itamaanisha "standardisation" ya kile kinachofundishwa vyuo vikuu. Wanafunzi wote na walimu wote itabidi wafundishe kitu kimoja, kama shule za msingi na sekondari.

Kuna tofauti kubwa kati ya shule za msingi na seknodari na vyuo vikuu. Mwanafunzi wa chuo kikuu anafunzwa kuwa mdadisi na mchimbuaji wa mambo akiongozwa na profesa wake. Hakuna maprofesa wawili wanaofanana na kazi ya profesa siyo kupakua aliyonayo na kumpa mwananfunzi bali kumwongoza. Profesa anatakiwa kumpima mwanafunzi jinsi ambavyo anaonyesha umahiri kwenye kudadisi maswala ambayo yapo kwenye somo analofundisha.
 
Well said
Labda kama kuna mengine nyuma ya pazia
La anakutaka kimapenzi au kuna mahali mlikorofishana
DAWA moja kigongo sana kwa lecturers wasumbufu ni kuhakikisha unafanya yafuatayo:
1. Hakikisha unasoma kozi unayoipenda na KUIMUDU.
2. Hudhuria vipindi vyote darasani.
3. Fanya test na assignment zote.
4. Hakikisha unascore 70%+ kwenye test, assignments na paper zote (Jisomee na kuelewa unachosoma)
5. Tusikuone Facebook (the greatest time waster for useless people)

ukilenga kufanya hayo HAKUNA lecturer au mtu yeyote atakayekutisha hapa ulimwenguni, achilia mbali duniani.
 
unknown.gif
Member Array

Join Date : 1st September 2013
Posts : 12
Rep Power : 303
Likes Received6
Likes Given0 UMEJIUNGA JANA ILI UPOST UPUMBAVU HUU?......SOMA KWA BIDII ACHA UVIVU, ULIFIKIRI PRIMARY HIYO...

Mtu kuingia katika profile yangu na kutaka kujua nimejiunga lini hainipi shida kwa kuwa najua nimesema tatizo ambalo mimi kama mdau limenisumbua na kama unaona ni upumbavu that's up to u! Kama una mtoto yuko chuo na hajawahi kuskia hata rafki zake wakiongelea swala hili pia isinihusu sana! Ila wewe kusema kuwa nilichopost ni upumbavu it doesn't affect me coz ctaki kukujibu kwa tusi yawezekana wewe ni babu yangu!mimi ndo nliepost na Kama ningeona ni swala la kijinga nisingelileta kwenye forum ya watu nnaowaheshimu na kujua wana idea ya jinsi ya kunisaidia au la ningelipeleka facebook kwa watu wanaojua ku-like bila kutatua jambo.nnachotaka kusema ni kwamba hata uwe na mamlaka gani huna uwezo wa kumwambia mtu amepost upumbavu coz at least I had an idea of self reliance wen t comes 2 education
 
Someone out there is posting shit n am here trying to express my education welfare n someone is here 2 make it look like a sex topic..Tanzania ina freedom of expression.at least that is what someone shud knw!
 
Mtu kuingia katika profile yangu na kutaka kujua nimejiunga lini hainipi shida kwa kuwa najua nimesema tatizo ambalo mimi kama mdau limenisumbua na kama unaona ni upumbavu that's up to u! Kama una mtoto yuko chuo na hajawahi kuskia hata rafki zake wakiongelea swala hili pia isinihusu sana! Ila wewe kusema kuwa nilichopost ni upumbavu it doesn't affect me coz ctaki kukujibu kwa tusi yawezekana wewe ni babu yangu!mimi ndo nliepost na Kama ningeona ni swala la kijinga nisingelileta kwenye forum ya watu nnaowaheshimu na kujua wana idea ya jinsi ya kunisaidia au la ningelipeleka facebook kwa watu wanaojua ku-like bila kutatua jambo.nnachotaka kusema ni kwamba hata uwe na mamlaka gani huna uwezo wa kumwambia mtu amepost upumbavu coz at least I had an idea of self reliance wen t comes 2 education
Umepost Upumbavu mkuu mbona hatuelewani? Kuna member ashaeleza kwa uzuri kabisa kwamba mitihani lazima ichekiwe na external examiners, hiyo inathibitisha kwamba hakuna udanganyifu utakaotokea.....pengine ungetwambia katika kipengele kipi hayo mambo yanatokea, labda kwenye test kwamba atakubana usifikishe course work(carry over).....samahani mkuu kwa kukukwaza.
 
As I said earlier it doesn't bother me when someone says anything coz still its yo point of view labda ndo nyie mnaopenda topic za mambo ya ajabu but back 2 the point huyo alieleza kuhusu external examiners alipost kabla yangu? Au alivopost nimembishia? Kila chuo kina system yake na najua system nzma ya external examiner so unavobisha naamua tu kukushangaa coz alievaa kiatu ndo anaejua kama kimembana so mm nlieleta mada ndo najua nnachokiface
 
Na declare interest mimi ni mhadhiri, hakuna lecturer anaefanya hivyo isipokuwa mwanafunzi mwenyewe anasababisha. Matokeo ya coursework na UE huwekwa wazi na room for appeal zipo. Ukionewa haki zote zipo wazi. Duniani kote lecturers ndo waamuzi. Labda hamia dunia nyingine.
 
Na mtu anakuwa affected pale ambapo lecturer anamtisha ku-sup na kweli baadae anasup na hata akiappeal ni tatzo lile lile then unamweleza habari za external examiners ambao hawaoni.connection inakuja kuonekana pale ambapo mwanafunzi alishatishiwa na kweli anakuja kufeli labda ni tatzo la mwanafunzi mwenyewe ila statement ya mwalimu ni psychological effect
 
Na declare interest mimi ni mhadhiri, hakuna lecturer anaefanya hivyo isipokuwa mwanafunzi mwenyewe anasababisha. Matokeo ya coursework na UE huwekwa wazi na room for appeal zipo. Ukionewa haki zote zipo wazi. Duniani kote lecturers ndo waamuzi. Labda hamia dunia nyingine.

Nimekuelewa kiongozi ila statement za waalimu zna athari kubwa kwa wanafunzi..mfano anaposema utasup somo langu hata mara tano yaani seriously hata kama ni utani or whatever mwanafunzi achelewe nini kuogopa wakat anajua lecturer wake anauwezo wa kufanya chochote!
 
Sana tena naiomba serikali iliangalie swala hili kwasababu hata ukilalamika na ukasahishiwa mtihani wako bado anausahisha ni yuleyule na akitoka hapo anakuja kujitapa

Dah...! kuna vyuo vitakimbiwa na wanafunzi baada ya GPA kusoma 2 throughout..
 
DAWA moja kigongo sana kwa lecturers wasumbufu ni kuhakikisha unafanya yafuatayo:
1. Hakikisha unasoma kozi unayoipenda na KUIMUDU.
2. Hudhuria vipindi vyote darasani.
3. Fanya test na assignment zote.
4. Hakikisha unascore 70%+ kwenye test, assignments na paper zote (Jisomee na kuelewa unachosoma)
5. Tusikuone Facebook (the greatest time waster for useless people)

ukilenga kufanya hayo HAKUNA lecturer au mtu yeyote atakayekutisha hapa ulimwenguni, achilia mbali duniani.

Afu aache ligi na lecturer kwa yule demu..
 
6. Kila dakika jikumbushe mstari huu: "hapa chuo/shule nimefuata masomo"
 
Baadhi ya wahadhiri ni washamba.........nipo kwenye matatizo na mhadhir mmoja ila nachoshukuru matokeo yametoka na nimeridhika nayo.
Najua kabisa alishindwa kutia mkono kwenye hilo!!!!

Hawa watu wananguvu sana katika course work,na ukipata supp utalia maana supp mara nyingi zinasahishwa na walimu wa somo husika.
 
Dada bora hata umefunguka maana we both knw what we face sasa mtu aliemaliza chuo miaka 25 ilopita anaanza kukupa sera za enzi hizo jamani narudia tena mi ndo nnaeyaona kama hayajakukuta tulia tu acha wenye malalamiko yetu tuyawasilishe kwa wadau wanaoweza kutusaidia
 
Baadhi ya wahadhiri ni washamba.........nipo kwenye matatizo na mhadhir mmoja ila nachoshukuru matokeo yametoka na nimeridhika nayo.
Najua kabisa alishindwa kutia mkono kwenye hilo!!!!

Hawa watu wananguvu sana katika course work,na ukipata supp utalia maana supp mara nyingi zinasahishwa na walimu wa somo husika.

na kusahishwa kwa sup na walimu husika ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu yaani nothn z solved
 
Back
Top Bottom