Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
At some point ndio ..unakuta mwanafunzi anastahili marks flani bt lecturer akiwa na malice nae anampa marks anazotaka yeye na kinachouma zaidi hakuna wa kumlalamikia coz at the end ni yeye ndo anaedetermine maisha yako ya chuo
dawa moja kigongo sana kwa lecturers wasumbufu ni kuhakikisha unafanya yafuatayo:
1. Hakikisha unasoma kozi unayoipenda na kuimudu.
2. Hudhuria vipindi vyote darasani.
3. Fanya test na assignment zote.
4. Hakikisha unascore 70%+ kwenye test, assignments na paper zote (jisomee na kuelewa unachosoma)
5. Tusikuone facebook (the greatest time waster for useless people)
ukilenga kufanya hayo hakuna lecturer au mtu yeyote atakayekutisha hapa ulimwenguni, achilia mbali duniani.
Mkuu najua kuna mikwaruzano mingi vyuoni kati ya wanafunzi na wahadhiri wao na matukio kama hayo (wasichana kutongozwa) hutokea. Kwa kufahamu hali hizo ndiyo maana matokeo hupitia hatua nyingi ikiwemo kupitiwa na watahini wa nje (external examiners) kisha senate kuyaidhinisha lakini kabla ya kuidhinishwa na senate lazima zipitiwe rufaa za wanafunzi kwa masomo yaliyokatiwa rufaa. Si hivyo tu bali pia senate hupitia mapendekezo ya watahini wa nje (external examiners recommendation review and implementation) na baada ya kujiridhisha ndipo matokeo huwa rasmi.
Lakini pamoja na yote hayo bado kuna baadhi wahadhiri wasiopenda mambo yaende kiurahisi na ndio hao hufikia hatua ya kutisha wanafunzi na kuwajengea hofu hatimaye kuwafanya wasijiamini na matokeo yake ndiyo hayo kufeli/kufelishwa.
Ifike mahala wanafunzi wafuate taratibu na sheria za chuo zinazowaongoza, hali kadhalika wahadhiri nao (baadhi) wenye kujiona wao ndio "NECTA ya chuo" wabadilike na wafanye kazi kwa kuzingatia taratibu na kanuni zinazowaongoza.
Lakini ili kuweka mazingira sawa mimi naona serikali iweke NECTA ya Vyuo japo ni ngumu ila itasaidia sana.
DAWA moja kigongo sana kwa lecturers wasumbufu ni kuhakikisha unafanya yafuatayo:
1. Hakikisha unasoma kozi unayoipenda na KUIMUDU.
2. Hudhuria vipindi vyote darasani.
3. Fanya test na assignment zote.
4. Hakikisha unascore 70%+ kwenye test, assignments na paper zote (Jisomee na kuelewa unachosoma)
5. Tusikuone Facebook (the greatest time waster for useless people)
ukilenga kufanya hayo HAKUNA lecturer au mtu yeyote atakayekutisha hapa ulimwenguni, achilia mbali duniani.
Member Array![]()
Join Date : 1st September 2013
Posts : 12
Rep Power : 303
Likes Received6
Likes Given0 UMEJIUNGA JANA ILI UPOST UPUMBAVU HUU?......SOMA KWA BIDII ACHA UVIVU, ULIFIKIRI PRIMARY HIYO...
Umepost Upumbavu mkuu mbona hatuelewani? Kuna member ashaeleza kwa uzuri kabisa kwamba mitihani lazima ichekiwe na external examiners, hiyo inathibitisha kwamba hakuna udanganyifu utakaotokea.....pengine ungetwambia katika kipengele kipi hayo mambo yanatokea, labda kwenye test kwamba atakubana usifikishe course work(carry over).....samahani mkuu kwa kukukwaza.Mtu kuingia katika profile yangu na kutaka kujua nimejiunga lini hainipi shida kwa kuwa najua nimesema tatizo ambalo mimi kama mdau limenisumbua na kama unaona ni upumbavu that's up to u! Kama una mtoto yuko chuo na hajawahi kuskia hata rafki zake wakiongelea swala hili pia isinihusu sana! Ila wewe kusema kuwa nilichopost ni upumbavu it doesn't affect me coz ctaki kukujibu kwa tusi yawezekana wewe ni babu yangu!mimi ndo nliepost na Kama ningeona ni swala la kijinga nisingelileta kwenye forum ya watu nnaowaheshimu na kujua wana idea ya jinsi ya kunisaidia au la ningelipeleka facebook kwa watu wanaojua ku-like bila kutatua jambo.nnachotaka kusema ni kwamba hata uwe na mamlaka gani huna uwezo wa kumwambia mtu amepost upumbavu coz at least I had an idea of self reliance wen t comes 2 education
Umepost Upumbavu mkuu mbona hatuelewani? Kuna member ashaeleza kwa uzuri kabisa kwamba mitihani lazima ichekiwe na external examiners, hiyo inathibitisha kwamba hakuna udanganyifu utakaotokea.....pengine ungetwambia katika kipengele kipi hayo mambo yanatokea, labda kwenye test kwamba atakubana usifikishe course work(carry over).....samahani mkuu kwa kukukwaza.
As I said earlier it doesn't bother me when someone says anything coz still its yo point of view labda ndo nyie mnaopenda topic za mambo ya ajabu but back 2 the point huyo alieleza kuhusu external examiners alipost kabla yangu? Au alivopost nimembishia? Kila chuo kina system yake na najua system nzma ya external examiner so unavobisha naamua tu kukushangaa coz alievaa kiatu ndo anaejua kama kimembana so mm nlieleta mada ndo najua nnachokiface
Na declare interest mimi ni mhadhiri, hakuna lecturer anaefanya hivyo isipokuwa mwanafunzi mwenyewe anasababisha. Matokeo ya coursework na UE huwekwa wazi na room for appeal zipo. Ukionewa haki zote zipo wazi. Duniani kote lecturers ndo waamuzi. Labda hamia dunia nyingine.
Sana tena naiomba serikali iliangalie swala hili kwasababu hata ukilalamika na ukasahishiwa mtihani wako bado anausahisha ni yuleyule na akitoka hapo anakuja kujitapa
DAWA moja kigongo sana kwa lecturers wasumbufu ni kuhakikisha unafanya yafuatayo:
1. Hakikisha unasoma kozi unayoipenda na KUIMUDU.
2. Hudhuria vipindi vyote darasani.
3. Fanya test na assignment zote.
4. Hakikisha unascore 70%+ kwenye test, assignments na paper zote (Jisomee na kuelewa unachosoma)
5. Tusikuone Facebook (the greatest time waster for useless people)
ukilenga kufanya hayo HAKUNA lecturer au mtu yeyote atakayekutisha hapa ulimwenguni, achilia mbali duniani.
Baadhi ya wahadhiri ni washamba.........nipo kwenye matatizo na mhadhir mmoja ila nachoshukuru matokeo yametoka na nimeridhika nayo.
Najua kabisa alishindwa kutia mkono kwenye hilo!!!!
Hawa watu wananguvu sana katika course work,na ukipata supp utalia maana supp mara nyingi zinasahishwa na walimu wa somo husika.
Baadhi ya wahadhiri ni washamba.........nipo kwenye matatizo na mhadhir mmoja ila nachoshukuru matokeo yametoka na nimeridhika nayo.
Najua kabisa alishindwa kutia mkono kwenye hilo!!!!
Hawa watu wananguvu sana katika course work,na ukipata supp utalia maana supp mara nyingi zinasahishwa na walimu wa somo husika.