Ni lini lecturers watapunguza mamlaka ya kuamua mwanafunzi gani afaulu na yupi afeli

Absolutely!

Matatizo ya kitaaluma mara nyingi mwanafunzi mwenyewe anakuwa amechangia pa kubwa tu na ni machache sana ambayo genuinely yanaletwa/kuanzishwa na wahadhiri. Katika kipindi nilichosoma mimi wanafunzi waliokuwa wana-disco au ku-sup walikuwa obvious kwa kutizama tu mienendo yao katika kujishughulisha na shule (ni wachache sana ambao mtu unaweza hasa kushangaa ukisikia ame-disco au ku-sup).
 
Halafu jamani ebu tuelewe jambo moja ktk mjadala huu,nimeona wadau wengi wamezungumzia role ya maexternal exerminers ktk kuhakiki matokeo ya wanafunzi chuoni,lakini iyeleweke wazi kuwa hao maexternal exerminers wanapokuja kuhakiki matokeo haina maana watachukua booklets zote za wanafunzi na kuanza kuikagua moja baada ya nyengine la hasha!bali kinachofanyika ni kwamba huwa wanakagua zle pepa za wanafunzi walioanguka saaaaana na pia wliofaulu saaana.Tatizo linakuja kwa hawa wenye matokeo ya kati au waliofeli kwa kiwango cha kupata "D"(supp ya kawaida).Kwa maana iyo tatizo la wahadhiri kuwatisha wanafunzi na hata kuwashika kweli ktk usahihishaji ni suala ambalo lipo na ni sugu kwa kweli,mm mwnyw ni shahidi wa hayo as kuna lecturer wng mmoja yy hutuambia mapema hata kabla ya mtihani kuanza kwamba semista hii atawakamata wangapi(idadi) na ndicho kinachotokea.TATIZO HILI LIPO KWELI VYUONI NA WALA SOMETIMES SIO TATIZO LA MADENT@MLETA MADA....I support 100%
 

Thanx 4 the support na hadi naipost hii thread ckuwa na doubts zozote za nnachokiongea..at least there r someppo huko ambao 2naface same problems..this is a common issue na. Ingekuwa bahati mbaya basi idadi ya sup anayokuwa anaitaja lecturer kabla hajasahisha isingekuwa inafanana na matokeo yenyewe.yani inakuwa vilevile kama alivokuwa anataka. Jaman nawaomba tena serikali mtusaidie jamani tunaomba najua mna mamlaka
 

Mkuu unamaanisha vyuo vya hapa bongo au majuu? kama ni hapa tz umechemka kwani huo ni utaratibu wa kwenye maandishi tu na sio wa kiutendaji , eti umpeleke muhadhiri wa vyuo vya bongo mahakamani au kwenye senate,
mkuu labda kama unazungumzia uzooefu wako kwa vyuo vya nje ya nchi hasa ulaya na amerika lakini sio bongoland hii.
 
M mwenyewe nakarbia kuwa lect kwangu m ctoweza kumuonea m2 but yule ambaye hana heshima lazima ataacount, na hata kama we mwenyewe utapata nafas unaweza jua so usilaum saana na kuhukum saana.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Seriously hakuna implementation yoyote ya hizo procedures na sheria mtu anapokuwa na uongozi chuoni basi ataamua kufanya anavotaka tu
 
halafu msichana ukiwa SMART (kichwani) & SERIOUS, hakuna mwalimu atakayekusumbua. Waalimu wapenda vibinti ni kama FISI tu, mambo yao kwa kuvizia wadhaifu, hasa wanaochekacheka. chukua hiyo uifanyie kazi
 
halafu msichana ukiwa SMART (kichwani) & SERIOUS, hakuna mwalimu atakayekusumbua. Waalimu wapenda vibinti ni kama fisi tu, mambo yao kwa kuvizia wadhaifu. chukua hiyo uifanyie kazi

Fact!! N thts so true
 
Ni hapo tutakapoacha kutegemea maamzi ya kitaalam, ndipo hata madaktari wa hospitali nao wtapunguza kuamua nani afe na nani asife.
 
Kuna mwalimu alishawahi kugoma kunisahihishia swali na kuniambia nikalalamike popote nnapotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…