ni lini masikini watafurahia na kuzifaidi mali za nchi hii

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
yaani kwenye hii nchi vitu vyote vizuri hata kama ni mali ya uma lakini bado mwananchi wa kawaida hawezi kuvifaidi

hata hizo train ya umeme na ndege ni kwa ajili tu ya viongozi na sio mwananchi wa chini

yaani huduma ikiboreshwa basi inakuwa haimgusi tena mwananchi wa chini.
 
Siku masikini akiacha kufanya mapenzi atakuja kufaidi.
 
yaani kwenye hii nchi vitu vyote vizuri hata kama ni mali ya uma lakini bado mwananchi wa kawaida hawezi kuvifaidi

hata hizo train ya umeme na ndege ni kwa ajili tu ya viongozi na sio mwananchi wa chini

yaani huduma ikiboreshwa basi inakuwa haimgusi tena mwananchi wa chini.
Siku masikini wakiamua kwa umoja wao kukifukuza chama cha mafisi madarakani kupitia sanduku na kulinda kura
 
Back
Top Bottom