yaani kwenye hii nchi vitu vyote vizuri hata kama ni mali ya uma lakini bado mwananchi wa kawaida hawezi kuvifaidi
hata hizo train ya umeme na ndege ni kwa ajili tu ya viongozi na sio mwananchi wa chini
yaani huduma ikiboreshwa basi inakuwa haimgusi tena mwananchi wa chini.