Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Serikali inatakiwa ibadili mfumo mzima wa maisha ya nchi hii na kwa wananchi wake.
Hiyo mambo ya mwisho wa mwezi ni zilipendwa. Tumeshiklia kanuni za mkoloni zile zile kubadilika hatutaki.
Serikali haina plan B miaka nenda miaka rudi.
Sasa hivi watu wanajifanyia kazi kwa mazoea tu na si kwa kujituma huku wakijua mwisho wa mwezi mshahara utaingia tu.
Badiliko dogo kama hilo nchi inashindwa ndo mana hatuendelei tunabaki kunga'nga'na na wapinzani, huku chama tawala kikiwa hakina mbele wala nyuma.